Miaka ya nyumba wazazi wetu wakilipa Kodi ya kichwa ilikuwa elfu 5 tu.
Napendekeza Kodi ya kichwa iwe elfu 50 Kwa mwaka. Kila mwanaume na mwanamke mwenye umri wa miaka 18 ambaye sio Mzee au mlemavu alipe Kodi.
Haiwezekani hii nchi raia hawalipi Kodi wanaolipa Kodi ni wachache mno.
Wakiulizwa...
Luhaga Mpina anaunguruma muda huu Sakasaka Jimbo kwake Kisesa
Updates......
Mbunge wa Jimbo la Kisesa Luhaga Mpina amendelea kufanya ziara katika jimbo lake hilo kusikiliza kero za wananchi leo kata ya Sakasaka.
Mbunge Mpina amewataka wananchi wa Jimbo la Kisesa kuchukua hatua ili kujikinga na...
Ningependa kuwashauri wahusika yafuatayo. Wapanue wigo wa kuwafikia walipakodi kwa kuwa na mipango ya muda mfupi na muda mrefu kwa kufungua ofisi za mamlaka ya mapato kwenye kata na tarafa hata serikali za mitaa ikibidi, kulingana na wingi wa walipakodi kwenye maeneo hayo.
Kodi za ardhi na...
Kodi ni Nini?
Kodi ni malipo ya lazima ya kifedha yanayowekwa na serikali kwa watu binafsi na biashara ili kufadhili matumizi ya umma na shughuli za serikali. Kodi hukusanywa kwa njia mbalimbali, ikiwa ni pamoja na kodi ya mapato, kodi ya makampuni, kodi ya mauzo, kodi ya mali, na ushuru wa...
Wakuu salamu.
Naomba niende kwenye point moja kwa moja.
Kama mnavyojua miaka inasogea na watoto wanakua na wakubwa wanazeeka. Na maisha yanasonga mbele na TOZO zinayoyoma. Pamoja na 10% inayopendekezwa na serikali ya CCM, kwenye nyumba za kupanga.
Sasa Mungu katubariki vijumba viwili vitatu...
Wadau kuna hizi machine za kamali za wachina zimetapakaa kila Kona ya mijinI hadi vijijini na wenyewe utawakuta na harrier na Krueger wanakusanya hela.
Je, hizi mashine Serikali wanapataje mapato yao na zinaingizwaje nchini na zina usimamizi gani wa Serikali maana hawa jamaa wanapata hela...
"...wakati wa Magufuli ilifikia wakati wafanyabiashara wanagombania kulipa kodi kwa hiari yao."
"...nakumbuka kuanzia 2018 ndiyo kipindi hasa wafanyabiashara nchini karibu wote wakubwa kwa wadogo walianza kugombania na kulipa kwa wakati kodi stahiki na tena wakati huo hata habari ya wao kutaka...
Jana Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) ilitangaza kuwa katika robo ya kwanza ya mwaka wa fedha 2021/22, serikali imefanikiwa kukusanya kiasi cha shilingi trilioni 5.151, ikiwa ni asilimia 94 ya lengo la kukusanya shilingi trilioni 5.462.
Kiwango hicho cha makusanyo ni ukuaji wa asilimia 17.4...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.