ukusanyaji kodi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Serikali na TRA rejesheni kodi ya kichwa, watanzania wanadumaa akili kwa kutokuwajibika

    Miaka ya nyumba wazazi wetu wakilipa Kodi ya kichwa ilikuwa elfu 5 tu. Napendekeza Kodi ya kichwa iwe elfu 50 Kwa mwaka. Kila mwanaume na mwanamke mwenye umri wa miaka 18 ambaye sio Mzee au mlemavu alipe Kodi. Haiwezekani hii nchi raia hawalipi Kodi wanaolipa Kodi ni wachache mno. Wakiulizwa...
  2. Luhaga Mpina: Wafanyabiashara kudaiwa kodi kubwa kuliko biashara zao inatoka na usimamizi mbaya wa ukusanyaji wa kodi

    Luhaga Mpina anaunguruma muda huu Sakasaka Jimbo kwake Kisesa Updates...... Mbunge wa Jimbo la Kisesa Luhaga Mpina amendelea kufanya ziara katika jimbo lake hilo kusikiliza kero za wananchi leo kata ya Sakasaka. Mbunge Mpina amewataka wananchi wa Jimbo la Kisesa kuchukua hatua ili kujikinga na...
  3. M

    SoC04 Tanzania tuikakayo: Upanuzi na uboreshaji wa ukusanyaji mapato ya Serikali

    Ningependa kuwashauri wahusika yafuatayo. Wapanue wigo wa kuwafikia walipakodi kwa kuwa na mipango ya muda mfupi na muda mrefu kwa kufungua ofisi za mamlaka ya mapato kwenye kata na tarafa hata serikali za mitaa ikibidi, kulingana na wingi wa walipakodi kwenye maeneo hayo. Kodi za ardhi na...
  4. C

    SoC04 TRA Ibadilike Kutoka Kuwa Mamlaka ya Ukusanyaji Kodi na Kuwa Mamlaka ya Kukuza Maendeleo ya Tanzania

    Kodi ni Nini? Kodi ni malipo ya lazima ya kifedha yanayowekwa na serikali kwa watu binafsi na biashara ili kufadhili matumizi ya umma na shughuli za serikali. Kodi hukusanywa kwa njia mbalimbali, ikiwa ni pamoja na kodi ya mapato, kodi ya makampuni, kodi ya mauzo, kodi ya mali, na ushuru wa...
  5. C

    Natafura mfumo bora wa ukusanyaji kodi katika nyumba za kupanga

    Wakuu salamu. Naomba niende kwenye point moja kwa moja. Kama mnavyojua miaka inasogea na watoto wanakua na wakubwa wanazeeka. Na maisha yanasonga mbele na TOZO zinayoyoma. Pamoja na 10% inayopendekezwa na serikali ya CCM, kwenye nyumba za kupanga. Sasa Mungu katubariki vijumba viwili vitatu...
  6. Serikali inakusanyaje kodi katika zile mashine za Kichina za kamali?

    Wadau kuna hizi machine za kamali za wachina zimetapakaa kila Kona ya mijinI hadi vijijini na wenyewe utawakuta na harrier na Krueger wanakusanya hela. Je, hizi mashine Serikali wanapataje mapato yao na zinaingizwaje nchini na zina usimamizi gani wa Serikali maana hawa jamaa wanapata hela...
  7. Mfanyakazi TRA: Toka nianze kazi TRA miaka 8, haupo wakati ukusanyaji kodi ulikubalika kama wa Hayati Magufuli

    "...wakati wa Magufuli ilifikia wakati wafanyabiashara wanagombania kulipa kodi kwa hiari yao." "...nakumbuka kuanzia 2018 ndiyo kipindi hasa wafanyabiashara nchini karibu wote wakubwa kwa wadogo walianza kugombania na kulipa kwa wakati kodi stahiki na tena wakati huo hata habari ya wao kutaka...
  8. M

    Kwa hili, Rais Samia apongezwe

    Jana Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) ilitangaza kuwa katika robo ya kwanza ya mwaka wa fedha 2021/22, serikali imefanikiwa kukusanya kiasi cha shilingi trilioni 5.151, ikiwa ni asilimia 94 ya lengo la kukusanya shilingi trilioni 5.462. Kiwango hicho cha makusanyo ni ukuaji wa asilimia 17.4...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…