Kuwepo kwa teknolojia za kisasa kumesaidia kuleta mapinduzi makubwa kupindukia katika ukusanyaji wa mapato katika mataifa yao ya Ulaya.
Hawa jamaa zetu wamefanikiwa kupunguza cash transactions kwa 80%, hivyo kusababisha fedha zote kuingia katika mfumo sahihi hivyo kukatwa kiasi kidogo cha kodi...