ukuta wa yeriko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Majok majok

    Nani alisema ukuta wa mabanzi ni sawa na Ukuta wa Yeriko? Mechi 7 goli 7 kunyavu! Clean sheet inatafutwa kwa tochi!

    Namtafuta aliyewapa jina la ukuta wa yeriko awa jamaa, inawezekana alikuwa amebugia k vant na ugoro akajitamkia tu! Timu inayojiita imekamilika Kila idara inaruhusu mabao Kila mechi, aijalishi inakutana wapi na uwanja Gani, ikipelekewa moto tu kidogo inakuwa Kama Tenga la kuuzia nyanya matobo...
  2. Majok majok

    Simba nendeni Misri kukamilisha ratiba. Ukuta wa Yericko umegeuka kuwa ukuta wa biskuti, kila mechi bao

    Nilikuwa nawashangaa sana mashabiki wa hii timu walivyokuwa wanatamba sana mitaani wakijiapiza kumfunga Aly ahly goli za kutosha! Lakini kwa wale wanaojitambua tulikuwa tunajua madhaifu ya mwakarobo na lilikuwa ni suala la muda tu kuzima tarumbeta zilizokuwa zinapigwa na vijana wa Rage, Baada...
  3. Wakili wa shetani

    Hivi wanafahamu kuwa ukuta wa Yeriko uliangushwa kwa matarumbeta!!?

    Naona wamekazana ukuta wa Yeriko ukuta wa Yeriko. Hivi wanafahamu uliangushwa kwa matarumbeta? Umbumbumbu ni mtihani mkubwa sana maishani?
  4. Majok majok

    Mpaka hapo imejulikana na imeonekana na imejidhihirisha ni timu gani ina ukuta wa Yeriko

    Nafikiri mechi za leo zimeonyesha na kuondoa shaka juu ya timu gani inao ukuta wa yeriko, beki bora zitakupa matokeo bora na beki dhaifu zitakupa matokeo dhaifu ya kushikilia roho na kubaki na option moja tu ya kwenda kwa waganga wa kienyeji Tanga ili kupata matokeo. Yanga imedhihirisha ubora...
Back
Top Bottom