Mm ni mtanzania, mzalendo, mwenye uwezo usiotiliwa mashaka nina elimu ya shahada ya uhandisi wa mitambo,ni mwana ccm toka mwaka 2008 hadi sasa, ni mtiifu, mwaminifu, mwadilifu
Naomba kuteuliwa kushika nafsi ya ukuu wa wilaya ya longido kufatia alikuwepo kuondoshwa hvyo natumia fursa hii...