CCM ndiyo inayoongoza Serikali. Lolote baya au zuri linalofanywa na Serikali, CCM inabeba uhusika mkuu.
Jukumu la kwanza la msingi kabla ya mengine yote kwa Serikali yoyote halali Duniani, ni usalama wa wananchi wake.
Katika kipindi hiki cha awamu ya 6, tumeshuhudia uovu wa ajabu kabisa wa...
Msigwa amewapigania wana iringa kwa uchungu mkubwa sana wa kiwango cha mama mjamzito.
Nashauri Mh. Rais amateur kuwa mkuu wa mkoa wa Iringa ili akatimilize kiu yake ya kuendeleza Mkoa wa Iringa
Ni aibu ufafanuzi wake kuhusu clip inamfunua akikebehi maskini hasa wagonjwa wasio na uwezo kiuchumi kujigharamia , lugha yake ya mwili katika kujitetea hauji katika ukweli awamu hii Chalamila amekamatika tena ajiuzuru ama afukuzwe haraka sana amevimbiwa,.
Huyu mtu pumbavu wa kutupwa...
Wale wasoma maandiko mnaelewaje hii?.
Kwenye Biblia tunajifunza kwamba Joshua alikaa miaka zaidi ya arobaini akiwa msaidizi wa Musa ila hata siku moja hakutaka ukuu. Iweje leo Lissu ana force. Je, ameshindwa kusubiri wakati wa Mungu ufike? . Je, atashinda kweli?
Za ndaani kabisa ni kwamba Mzee Joseph Sinde Warioba chuki yake ilianza kuumuka baada ya mtoto wake kuondolewa kwenye nafasi ya ukuu wa Wilaya.
Kila akipata fursa lazima afurumushe makombora mazito, lakini chanzo ni hicho.
Ushabiki, ujinga na uchawa umejaa miongoni mwa watanzania wengi huku tukidhani dunia inakwenda kwa style hiyo.
Kelele za watu kuanza kupendekeza majina ya watanzania wanaofaa kwenda kugombea tena huko WHO baada ya kifo cha Dr. Faustine Ndugulile zimeshika kasi, na serikali nayo ikaja na kauli...
Chalamila mara nyingi umekuwa ukitoa hotuba za dharau dhidi ya wananchi, hili la kuwaona wakazi wa Mbagala ni walevi wa pombe na wapenda ngono na wake za watu halikubaliki, ni dharau iliyopindukia. Chalamila inawezekana umewahi kumpata mke wa mtu huko Mbagala mlipokuwa mkinywa pombe, hii...
Naam
Kesi ya ngedere imesumbua sana sana hadi LYAKATA akaamua achague Makuhani wa Ukuu! Lakin Kuhani Mkuu hayupo kwenye kikosi! Wakati kesi kila siku anayo huyo Kuhani mkuu,
Hii ina maana gani kwake! Au kaachwa aendelee na kazi ya Kondoa Irangi kwenye mapango?
Britanicca
Short story. Nguvu ya Marekani ipo kwenye dollar yake anbayo ndiyo "sarafu ya dunia." Moja ya sababu inayofanya dollar iendelee kuwa sarafu ya dunia ni kutumika kwake kufanyia biashara ya mafuta. Biashara yenye pesa nyingi zaidi duniani.
Mwaka 1974 Marekani na Saudi Arabia(Akiwa mzalishaji...
Rais hakukosea kumteua Paul Makonda. Wengi wa wanaomchukia Makonda ni wale waliozoea blabla, shingwini shingwini na kona kona.
* Makonda akiagiza Ofisa kupaza sauti kwenye kisemeo - waovu eti ananyanyasa!
* Makonda akisimamisha watumishi kwa tuhuma kadhaa ili wapishe uchunguzi - waovu eti haki...
Mwenye taarifa za Mwalimu Maganga, Katibu Mkuu CWT aliyekataa uteuzi wa Ukuu wa Wilaya na kurudishwa kwenye Ualimu, kama alisharipoti kituo chake cha kazi atujulishe tafadhali!
Urusi iko Juu ya Ukraine Kwa kila kitu.
Kinachojadiliwa ni kwa nini Urusi wameivamia kijeshi Ukraine?
Ukraine inasifiwa kwa uimra wake wa kupambana kwa zaidi ya mwaka mmoja na nchi ilyoizidi kwa Kila kitu.
Kwa ivo Urusi inatumia ukuu wake kuionea Ukraine.
Mwaka 2018 Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) lilitoa waraka wa Pasaka ambao ulikua unakosoa, kuonya na kushauri mambo mbalimbali yaliyokua yakiliathiri taifa kwa wakati huo. Waraka huo ulikua moto kwa serikali ya Magufuli kwa sababu ulikosoa mambo mbalimbali ikiwemo matumizi ya...
Toka CCM waligundue Hilo hawana presha kabisa na upinzani. Utaratubu huu alianza nao mkapa.
Issue sasa ninl kuwahonga madaraka ili wakae kimya kwani nao ni chumia tumbo. Hata ukiwahoji watakuuliza kwani wewe unalisha familia zetu?
Enzi hizo bwana Cheo Yupo moto kwelikweli mkapa aliivuruga...
UTEUZI: SIXTUS MAPUNDA ATEULIWA UKUU WA WILAYA SUMBAWANGA
===
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemteua Bw. Sixtus Mapunda kuwa Mkuu wa Wilaya ya Sumbawanga. Bw. Mapunda anachukua nafasi ya Bi. Jane Nyamsenda ambaye uteuzi wake...
Kwa jinsi ilivyo, ukuu wa mikoa na Wilaya, utafika wakati watu wataanza kukataa kuteuliea kwa jinsi wanavyokuwa kwenye hatari ya kutenguliwe muda wowote!
Unateuliwa leo kesho huna kazi, huku ni kudhalilishana! Kwa kuogopa fedheha hizi pamoja na kumpa wakati mgumu mteuaji wao kuwa sijui...
Salaam Wakuu,
Japheth Maganga aliyetuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kyerwa, mkoani Kagera akataa uteuzi wa Ukuu wa Wilaya alioteuliwa na Rais Samia hivi karibuni.
Japhet kasema, baada ya Kushauriana na Familia yake, alimuandikia rais Samia kumshukuru kwa kumteua pia na kumuomba atengue uteuzi...
Umiliki wa teknolojia za mawasiliano ni jambo muhimu katika kuitawala dunia. Hiyo imeonekana kwa tajiri mkubwa wa dunia Ellon Musk anayemiliki satelite ya Starlink.
Wakati vita kati ya Ukraine na Urusi vikianza jeshi la Urusi liliwahi kuibomoa minara ya mawasiliano ya makampuni ya simu ili...
Kwako mama yetu Samia Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.
Natumai umzima wa afya njema na unaendelea na shughuli zako za kiofisi.
Mama, ndugu yetu Elia Wilinasi ni kijana safi mwenye weledi na mzalendo anayetamani kukitumikia chama cha mapinduzi katika ngazi za juu na taifa kwa ujumla...