Mzuka Wana jamvi....
Mika ya nyuma na kipindi nipo mdogo kulikuwa na wimbi kubwa la Wazazi na Jamii kwa ujumla wakihamasisha watoto wasome ili waukimbie umasikini wapate kazi na wawe na maisha mazuri , na ilikuwa unatishwa kweli kweli kuwa ukizingua tu maisha yatakushikisha adabu.
Baada ya...
Apartheism is a lack of interest or concern whether or not God exist.
Ukitazama matendo ya watu wanao jiita wakristu na waislamu utaona kabisa yanasadifu " Apartheism" . Matendo yao hayaonyeshi concern wala interest kwamba Mungu yupo.
Ingekuwa kinyume chake basi kusingekuwa na : wazinzi...
Hii ni kutokana na hali ilivyo kutokea katika maeneo mbalimbali ya nchi na pia katika "kuusoma upepo" kitalaamu:
Kwamba nyuma ya runinga watakuwapo Mama Abduli, Abduli, vigogo wote, bila kuwasahau wenye kumshikilia Daktari Slaa korokoroni kwa amri zao.
Haina shaka Mwamba japo kala kona kwa...
Majina yangu ni Johannes Ignatius Rwebangira, mzaliwa wa kijiji cha Bisheke, Kata ya Mubunda, Wilaya ya Muleba Mkoani Kagera. Baba na Mama yangu wote wakiwa wazawa wa kijiji hiki pia, hivyo hapa ni nyumbani.
Mwaka 1994, nikiwa na umri wa miaka miwili (2), ndipo safari ya hadithi ya maisha yangu...
UKWELI MCHUNGU AMBAO UNAPASWA KUJUA
Una mwenzako wa kike kazini, ninyi wote mnapokea mshahara au malipo sawa. Lakini mnapokwenda kula chakula cha mchana, unajifanya "MTU MZURI" na unalipa kwa ajili yenu wote.
Mnapochukua teksi kurudi nyumbani, unajifanya tena "MTU MZURI" na unamlipia.
Lakini...
Mahali ni utumwa kwani mwanamke auzwe kama mzigo au bidhaa Waafrika tufunguke tuzitoze mali watu kama wamependana tuwape baraka na sio tuendeleze utumwa.
Ndoa nyingi sana zinavunjika kwa sababu ya hii kitu watu wakifunguka macho wakaacha hii hakuna ndoa itakayovunjika upendo utatamalaki...
Huu ndio ukweli mchungu na pia mtakosa uhalali wa kumpinga Samia au Mtawala mwingine yoyotw ataeamua kubadili katiba ili ajiongezee muda wa kubaki madarakani.
Mtapoteza uhalali wa kuhoji katiba hii mbovu tuliyonayo na hata madai ys tume huru nayo yatakuwa yamekufa kifo cha mende kwasababu ni...
Ukweli Mchungu Ambao Wanaume Wengi Hawapendi Kusikia
Kisaikolojia, mwanaume anapoteza mvuto anapokuwa:
🌀 Hana malengo: Mwanaume asiye na ndoto au juhudi huashiria kutoendelea maishani.
🌀 Ana utegemezi kupita kiasi: Kutafuta uthibitisho au kuhitaji umakini kila mara huua heshima.
🌀 Hana...
Ni ukweli mchungu ambao kila mwanandoa hatopenda kuusikia.
Tunawaruhusu wake zetu wasafiri au waishi mbali lakini nilivyofuatlia hali ni mbaya sana humo njiani wana pigwa sana.
Kama ilivyo kwa wanaume akifika Dom au Dar au Mwanza, anatafuta chaka analolijua au part-time ndivyo hali ilivyo...
Jipende, uchafu sio sifa njema, eti unajisemea anipende jinsi nilivyo. Nani akupende na huo uchafu wako. Maua huvutia vipepeo na mizoga huvutia nzi. Kwahiyo, utawavutia wa aina ulivyo
Hakikisha unajipenda, unanukia, unavutia na unakuwa mkaka au mdada fulani hivi amazing
Hakikisha na unapoishi...
BAADHI YA MISTARI YA BIBLIA
2 samweli 1:18
(Kama ilivyoandikwa katika kitabu Cha YASHARI), akasema , wana wa Yuda wafundishwe haya.
Yoshua 10:13
Ndipo jua likasimama, na mwezi ukatulia,
Hata hilo taifa lilipokuwa limekwisha jipatiliza juu ya adui zao.
Hayo, je! Hayakuandikwa ndani ya kitabu...
Tiwa savage "Wanawake bila Ngono hatutoboi" 🥶🥶🥶
Tiwa Savage 🇳🇬 : " mfano Sex ingeondolewa kwenye mahusiano basi asilimia kubwa ya wanawake duniani tusingetoboa kabisa. Haya wewe hapo jiulize swali ukiitoa sex (ngono) kwenye mahusiano Yako Kuna kingine ambacho mpenzi wako anafaidi? "
« kwa...
Wasalaam,
Napenda kuchukua fursa hii kuwalaani wasanii wote wakiongozwa na rais wao stev Nyerere ambae hajamaliza hata darsa la saba kutumika kisiasa na cha chama cha mapinduzi kupotosha umma wa watanganyika kuhusu masuala muhimu ya kitaifa. Jana nimemsikiliza dula makabila ambae ameishia...
Ukweli huo unakuhusu wewe unae soma Uzi huu.
Miaka ya 90 ulipokuwa bado mtoto. Ulikuwa ukisikia redioni kibwagizo cha wimbo " MKE WANGU NI MLEVI ANANUKA GONGO".
Ulikuwaga una assume kibwagizo hicho kinawahusu watu wa Manzese, Tandale huko uswekeni ndani ndani, watu ambao hawajasoma , hawana...
I salute you kinsmen.
Hilo kombe la shirikisho ambalo simba wamekuwa wanashiriki sasa kwa kweli sio kama lile la misimu yote.
Hili la sasa limekuwa la kibwege sana na team za hovyo sana kama hao Tripoli.
Hawa hawa ndiyo waliokandwa na Biashara United kipindi kile eti leo ndiyo mnategemea...
Habarini,
Nimefanya huu uchunguzi usio rasmi, kwenye ndoa nyingi, ukiuliza mwanamke love story yake ya jinsi alivokutana na mmewe, utapata moja ya majibu haya:
1) Watakwambia hivi (nawanukuu)
"Yani huyu mume nilie nae wala hata sikuwa namuwaza, alitumia mwaka mzima kunitongoza, nilimzungusha...
Wajomba mambo vipi, aisee mimi sio mwandishi mzuri sana ila leo naomba niwapitishe kidogo kwenye hii "BITTER TRUTH" . ndio, ni ukweli mchungu especially kwetu sisi Scholars (wenyewe tunajiita wasomi😁) ila sisi!! anyways.
Siku za nyuma nimekua nikifanya Funny stories ila hii ya leo ni serious...
Hii ni tafiti ya wazi kabisa, ukiona mwanaume alisumbua sana mtaani na wanawake wazuri, mwishowe anakuja kuoa mwanamke mbovu kuliko wote aliowahi kutesa nao awali. Mpaka watu wanashangaa huyu ndo wa kuoa huyu mwanamke au amelazimishwa?
Lakini nimeamini huo ni mfumo tu wa dunia unatak watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.