ukweli

Ukweli Roach (born September 22, 1986) is an English actor best known for playing the role of FBI psychiatrist Dr. Robert Borden, on the American television series Blindspot.

View More On Wikipedia.org
  1. Inashangaza ki ukweli kilekinachoendelea kariakoo

    Leo nimeangalia karibia misiba yote ya kwenye gorofa na mengineyo nivilio tu Kwa wakinamama swali langu ni hili nafasi ya mwanaume mbona inafichwa kwani hao wanawake walijizalisha wenyewe hao watoto. Yani baba ahojiwi ni wanawake tu mbona inatumika nguvu kubwa kufichwa mwanaume Kwa watoto wake...
  2. Ukweli mchungu lakini dawa

    Jipende, uchafu sio sifa njema, eti unajisemea anipende jinsi nilivyo. Nani akupende na huo uchafu wako. Maua huvutia vipepeo na mizoga huvutia nzi. Kwahiyo, utawavutia wa aina ulivyo Hakikisha unajipenda, unanukia, unavutia na unakuwa mkaka au mdada fulani hivi amazing Hakikisha na unapoishi...
  3. Njooni tuambizane ukweli, Hivi wanawake wa kaskazini ni wife material kweli wa kuweka ndani kama mke au nataka kuingia choo cha kike?

    Ughonile.. Nikiri tu kuwa mchakato wa kupata mwanamke sahihi wa kuoa ni mgumu sana na unaelekea kunishinda. Mpaka sasa nmetokea kuwa na nyota ya kuwa na wadada wengi kwenye mahusiano wa iyo kanda pendwa kwa wanaume na nmetokea kudata kwa binti mmoja wa Marangu na tunapoelekea ni kwenye ndoa...
  4. Picha: Kada wa CHADEMA ambae husema ukweli daima.

    👇
  5. Tundu Lissu anasema serikali inahonga hela nyingi kwa viongozi wa dini

    Friends and Our Enemies, Katika mkutano wake na vyombo vya habari leo hii,Makamu Mwenyekiti wa Chadema anasema kwamba mabillion ya mapesa yanahongwa kwa makanisa na maaskofu ili kuzibwa midomo. Kauli hizi ni kauli za uchochezi na zenye kuleta taharuki sana ndani ya Taifa,Makanisa na Maaskofu...
  6. Kuna ukweli katika kauli hizi kisaikolojia

    Mosi,Kukaa kimya kuna nguvu zaidi kuliko pale unapotaka kudhibitisha ukweli au kujitetea. Na hii kweli kabisa wakati mwengine unaweza kupata kashfa ambayo jinsi kadri unavyotaka kujitetea unajikuta unazidi kuharibu,kwahiyo wakati mwingine kunyamaza ni jibu zuri sana,watu wanabaki njia panda...
  7. LGE2024 Kazi za serikali za mitaa ni kazi za kujitolea chadema waambiwe ukweli kiwa kama huna kazi huwezi pata

    Unaambiwa kigezo kikuu cha kazi za serkali za mitaa ni kujitolea kama huna kazi isiombe utakuwa huna vigezo wao ndio wakiomba walikataliwa ukosa vigezo wanaanza kulia lia tu. Chama kisichofuata hata ishu ndogo kama hizi kitaweza kweli kusimamia mambo ya maana ya siri na nyeti kitaifa na...
  8. Nimemkiliza huyu mwanasheria lakni ukweli sijaona shida yoyote ktk kuandika Mali zangu Kwa jina la mama.

    Wakuu Kila mmoja na mawazo msimamo na akili yake!. Sijaona point yoyote ya muhimu au kama kunasababu nyingine iongezwe, haijalishi mama atanidhulumu atakuwa amedhulumu Cha mwanae. Haijaliishi ndugu zangu wakagawana na Mali zangu Haina shida na ni jambo jema tu. Shida ni mwanamke achukue Mali...
  9. S

    Porto:Nani aambiwe Ukweli Kaiser Sio Yanga

    Aliyekuwa kocha wa Al Ahly ya Nchini Misri ambaye kwa sasa ni Kocha wa Esteghlal FC ya Nchini Iran Pitso Mosimane amesema kocha Nasreddine Nabi hajaambiwa ukweli kuhusu ligi ya Nchini Afrika ya Kusini Kocha Pisto Mosemane amesema "Nabi anapaswa kuambiwa ukweli.. Ligi ya Afrika Kusini ni ngumu...
  10. Japokuwa nimeoa lakini wanawake ndio chanzo cha wanaume kufa mapema kwenye ndoa/familia

    Mabibi na mabwana Habari za uzima wenu!. Wakuu sijaenda kanisani Leo mwaka wa6 sasa bila kukanyaga kanisani. (Haiwahusu) Nina USHAHIDI na mifano mingini sana ya wanaume waliokufa na chanzo wakiwa wake zao! Hapa nitajikita na mifano 2 ama mitatu kama nitaweza kuandika hapahapa maana sipendi...
  11. Ukweli usemwe: Israel Mbonyi ni msanii wa studio

    Najua huyu mnyarwanda Israel Mbonyi anapendwa sana na mashabiki wake na kama mnavyojua mapenzi upofu. Ila sio mzuri kwenye kuimba live ameshindwa kabisa kuonesha uwezo kwenye show yake mlimani city. Huwezi mfananisha wa waimba gospel kama Paul Clement . Mbonyi ni aina ya wasanii wanaotoa...
  12. Ziwa Victoria limewahi kukauka maji yote mara tatu

    Hii ina ukweli gani wakuu? ZIWA VICTORIA LIMEWAHI KUKAUKA MAJI YOTE MARA TATU Ziwa Victoria ni ziwa la pili kwa ukubwa duniani baada ya Ziwa kuu la Kaskazini nchini Marekani. Ziwa hili ambalo lina kina cha mita 83 ni moja ya maziwa machanga katika historia ya dunia kwa maana hayana miaka...
  13. Tashwishwi ya Biblia kweli ni kitabu cha Mungu?

    BAADHI YA MISTARI YA BIBLIA 2 samweli 1:18 (Kama ilivyoandikwa katika kitabu Cha YASHARI), akasema , wana wa Yuda wafundishwe haya. Yoshua 10:13 Ndipo jua likasimama, na mwezi ukatulia, Hata hilo taifa lilipokuwa limekwisha jipatiliza juu ya adui zao. Hayo, je! Hayakuandikwa ndani ya kitabu...
  14. Ukweli wa fedha za haraka: Tunadanganywa au ni kawaida ya kila mtanzania kununuliwa ndoto?

    Kila siku tunazungukwa na matangazo na hadithi za kupata “hela chap chap” – mara biashara ya mtandaoni, mara crypto, mara forex, na nyingine nyingi zinazoahidi mkwanja wa haraka. Kila mtu anatamani kutoka kimaisha, na hivyo ndivyo tunavyovutwa kwenye hizi fursa. Lakini swali ni, ni kweli kuna...
  15. Ukweli wa kufanikiwa kwenye maisha huu hapa

    Japo wengi hawataki kuongea, Hanscana kaongea ukweli Kuna age ukifika lazima uwe mtu WA kuforce mazingira.
  16. Ukweli kuhusu ugonjwa wa hypertension ( shinikizo la damu)

    Huu ugonjwa ni hatari saana unaua na kukatisha matumaini ya baadhi ya watu ambao wanao ( ayo ni maneno ya watalaam wetu ) Lakini kutokana na ukweli kabisi halisi ugonjwa huu sio hatari saana kama watu wanavyoongelea ( ni ugonjwa kama magonjwa mengine tu ya kawaida ) Uhatari wa ugonjwa huu upo...
  17. Je, The game of Thrones inafichua ukweli kuhusu flat Earth na Mambo yaliyofichwa?

    Habari za Sasa hivi wakuu? Mimi nimiongoni mwa watu wanao penda Sana kutazama movies hasa pale ninapo kuwa nime maliza majukumu yangu. ifikapo jioni wakati huwa naangalia picha hasa za kizungu Tena zile za kihistoria Sasa katika tazama tazama zangu movies Kuna picha niliona inaitwa the game...
  18. Kuna ukweli kwamba Almasi haipasuki hata ikigongwa na nyundo?

    Hello Great thinker wa JF, Hivi ni kweli kwamba Almasi haipasuki hata ikigongwa na nyundo? Kama ni kweli, Almasi ina kitu gani special mpaka isipasuke hata ikigongwa na nyundo? Na vipi kuna uwezekano wa kutumia Almasi kwenye screens za simu, TVs n.k kuepuka kuharibika pindi zikidondoka?
  19. B

    Na unakuta hata sisi tunaoonewa na kuwanenea mabaya watu hao, hata sisi hatujakamilika pia ( Roma )

    wanaotutendea mabaya, wanaotutesa, wanaotuua,wanaotuibia, wanaotudhulumu haki zetu, wanaotufunga bila hatia….. Upande wa pili wa shilingi watu hao hao wanawatendea mema watu wengine, wanasaidia yatima, wanawawezesha wajane, wanajenga nyumba za ibada na kutoa sadaka zinazoendesha nyumba hizo...
  20. Kwanini wanawake hawapendi kuambiwa ukweli?

    Kwanini wanawake hasa walio kwenye mahusiano hawapendi kuambiwa ukweli? Ni rahisi sana mwanamke kukuamini pindi unapomdanganya kuliko kumuambia ukweli. Mwanamke anaweza kukuvulia nguo kirahisi ukiingia na gia ya kutaka kumuoa, ukimdanganya kumuoa analoa chapachapa mana wanawake wengi au...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…