ulaghai

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Megalodon

    Ishu ya Umeme hata Dotto Biteko ameingia kwenye ulaghai wa maneno

    Tuliwaambia CCM haina kiongozi mwenye pure intelligence yaani AKILI NA UTASHI wa kubadili resources za Tanzania kuwa hela . Ni Majanga hilo Taifa. Huyu Biteko aliingia kwenye Uwaziri na akafikia hatua anawatoa TANESCO wasihudhurie vikao vyake kujadili TATIZO la Umeme kwa sababu TANESCO ni...
  2. Megalodon

    Wasafi FM, wanatupitisha kwenye ulaghai na utapeli wa ujenzi wa Barabara zisizokuwa na tija Tanzania. Je ni mamlaka, Engineers au Rushwa?

    Kwanza niipongeze WASAFI FM, nadhani ndio chombo cha habari huwa wanajadiligi ishu za msingi sana. Ni ngumu sana kwenda nchi za watu kukuta maujenzi ya barabara kila mwaka hususani maeneo ya mjini. Na hata barabara zinazojengwa mjini ndani ya miezi 6 barabara zinakuwa zimeharibika. Je tatizo...
  3. Eli Cohen

    Hakuna chochote nacho admire kwa hawa wanaojiita manabii na utapeli wao ila kwa namna walivyo badirisha ulaghai wao kuwa uhalali, should be studied.

    Kwa miaka miaka 2000 tangu Yesu Kristo arudi mbiguni hapakutokea mtu aliejiita chief prophet hadi ilipofika miaka 2010 ghafla kila mtu akaanza kujiita hivyo. So nimegundua hawa watu are businessmen na hivyo ndivyo wanavyouza bidhaa zao. Kama vile utakavyo ifanyia market bidhaa yako kuwa bora...
  4. W

    LGE2024 Maaskofu wa Kanisa Katoliki "Kiongozi anayepatikana kwa mbavu na Uongo, hutumia Ulaghai kuongoza"

    Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania (TEC) limetoa tamko kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, leo Novemba 15, 2024 likisistiza una umuhimu mkubwa kwa ustawi wa Jamii na Nchi kwa ujumla Tamko hili limewasilishwa na Rais wa TEC, Askofu Wolfgang Pisa, amesema "Tunasisitiza TAMISEMI...
  5. G

    LGE2024 Ulaghai wa bei ya korosho na kiki za kisiasa za CCM kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

    Mnada wa kwanza wa korosho uliofanyika 11/10/2024 ulifunguliwa kwa bei ya TSh 4150/= kwa kilo moja ya korosho. Kwenye mnada huu kulikuwa na tani chache sana za korosho. Ukafuata mnada wa pili ambapo bei ilishuka mpk kufikia TSh 3750/=, napo pia kulikuwa na tani chache sana za korosho. Bei...
  6. Mwamuzi wa Tanzania

    Upotofu, ulaghai na uchafu ndani ya kanisa kiini chake kikubwa ni viongozi wa dini kukwepa haya hizi mbili ndani ya Biblia

    Hallelujah! Mimi ni mkristo, siandiki hapa kwa lengo la kuufedhehesha Ukristo hapana. Natamani turudi kwenye Ukristo ule ambao sifa tu inatosha kuleta uponyaji wa kimwili na kuleta bubujiko la kiroho tofauti na sasa sifa ipo tu kama desturi. Mtu ametoka kuzini jana leo anashika mike kuongoza...
  7. Mtoa Taarifa

    Je Wajua? kampuni za Adani Group zimewahi kuripotiwa kufanya Ulaghai na kushushwa thamani ya Utajiri wake kwa Dola Trilioni 27.9

    Januari 2023 Mfanyabiashara Gautam Adani ambaye ni mmiliki wa Kampuni za ADAN GROUP alijikuta akiondolewa katika orodha ya Matajiri wakubwa duniani baada ya thamani ya utajiri wake kushuka kwa zaidi ya Tsh. Trilioni 60 kutokana na kudaiwa kufanya Udanganyifu kwenye masuala ya Hisa na Masuala ya...
  8. Influenza

    Akamatwa kwa kulaghai watu kwa kisingizio cha biashara ya kubadilisha fedha (Forex Trading)

    Maafisa wa upelelezi kutoka Makao Makuu ya DCI-Nairobi wamemkamata Daniel Mbugua Njogu, anayejulikana pia kama Dan, katika makazi yake eneo la Kimbo. Njogu (30), anashtakiwa kwa kuwalaghai watu wengi kwa kisingizio cha biashara ya fedha (forex trading). Kukamatwa kwake kunafuatia uchunguzi wa...
  9. The Sheriff

    Mchungaji anayefahamika kama 'Bling Bishop' ahukumiwa Miaka 9 kwa Udanganyifu na Ulaghai

    Lamor Whitehead, mchungaji maarufu wa Brooklyn nchini Marekani anayejulikana kama "Bling Bishop," amehukumiwa kifungo cha miaka tisa jela baada ya kupatikana na hatia ya kutumia akiba ya kustaafu ya mshirika wake na kujaribu kumlaghai mfanyabiashara mmoja. Whitehead alipatikana na hatia mwezi...
  10. Shujaa Mwendazake

    Klabu ya Simba imeshakana kupokea 20B za Mo. Yeye kuendelea kukaa kimya ni kudhihirisha ulaghai wake

    Tuokoe Muda wakuu. Wajumbe wa Simba upande wa wanachama katika Bodi wameshakana klabu kupokea 20B kutoka kwa anayedaiwa ni mwekezaji aliyenunua 20B. Ikumbukwe hawa wajumbe ndo wawakilishi wa klabu katika bodi ikisemekana wanamiliki ile 51% Kwa lugha nyepesi ninkuwa Simba imeshamkana Mo Dewji...
  11. Yoda

    Budapest Memorandum: Ulaghai wa kihistoria Warusi waliowafanyia Marekani, Uingereza na Ukraine

    Mwaka 1991 wakati USSR inavunjika mataifa kadhaa yaliyokuwa yanaunda umoja huo yalikuwa yanamiliki silaha za nyuklia na makombora ya masafa marefu. Ukraine lilikuwa ni taifa mojawapo lililokuwa likimiliki mzigo mkubwa wa silaha za nyuklia na nyinginezo nzito, ilikuwa taifa la tatu duniani kwa...
  12. Logikos

    Ulaghai na Ramli za Wanasiasa (The Finger Pointing Culture)

    Nadhani wote tunaelewa Wanasiasa na Ulaghai / Kulaumu wengine ni pete na Kidole....; Mdau mmoja alisema.... To err is human. To blame someone else is politics. Nashangaa pale Chama tawala wanapolaumu wapinzani ni kama dereva kulaumu abiria wakati yeye ndio anaendesha (lakini naelewa...
  13. Natafuta Ajira

    Mifumo ya kidunia ilishaamua mwanaume aishi kwa kukandamizwa na kufanyiwa ulaghai/ udanganyifu

    Chukulia mfano suala la sex, ile ni starehe ya wote lakini dunia imekua brainwashed kwa kuaminishwa mwanaume anafanyiwa favor ambayo in return inatakiwa kulipia posho, hii posho ya sex wadada wa mjini siku hizi wanaiita matunzo. Mambo yapo ivyo karibu kila nyanja zinazohusu masuala ya kijinsia...
  14. 100 others

    Artificial Intelligence ni ulaghai

    Mwaka 1997 IBM walitengeneza computer ikiitwa Deep Blue ikamshinda bingwa wa chess duniani aliitwa Garry Kasparov, watu wakaona dunia inaingia kwenye nyakati computer inakwenda kumzidi binadamu akili lakini si kweli, miaka ya1950' hadi 1960's kuna wanasayansi wakasema kuna robots zitakuja...
  15. JanguKamaJangu

    Mdukuzi kutoka Uingereza na Nigeria alikana hatia ya ulaghai wa $6m katika mahakama ya Marekani

    Mwanamume mmoja raia wa Uingereza na Nigeria amekiri katika mahakama ya Marekani kudanganya na kuiba zaidi ya $6m (£4.7m) katika kipindi cha miaka saba. Idris Dayo Mustapha, 33, alikuwa sehemu ya wadukuzi waliopenyeza barua pepe na akaunti za udalali za makampuni ya Marekani kati ya 2011 na...
  16. DeMostAdmired

    Maisha na uhai hujitengeneza vyenyewe kulingana na mazingira (supernatural power ipo lakini dini ni ulaghai)

    Supernatural power ni nguvu ya asili ambayo ni matokeo ya ukamilifu wa mifumo na vitu vinavyounda mazingira. (Mazingira hai na mazingira mfu). Nakubaliana na uwepo wa Supernatural power lakini kwenye dini bado sijashawishika. Kila kiumbe hai hujitengeneza chenyewe automatically huku mchakato...
  17. bezos2019

    Shetani huvaa Prada, ulaghai ufanikiwao umechanganywa na ukweli

    Asilimia kubwa ya wanaopinga mkataba (IGA) Hawapingi mkataba (IGA) wa bandari, kwakua ili kupinga mkataba, ni lazima uanze na sheria zitakazo ongoza mkataba kwanza, kabla ya yaliyomo, kwakua yaliyomo ni lazima yafuate sheria. Hii ni kama tu unataka kupinga kwa nia njema ya taifa. Usipofanya...
  18. chiembe

    Nani kawakimbiza wafanyabiashara wa nchi jirani kariakoo? TRA au wafanyabiashara wenyewe wa kariakoo kwa ulaghai?

    Hapa ndipo waandishi wa habari za uchunguzi wanatakiwa kuingia "chimbo". Wakawasake hao wafanyabiashara wa nchi jirani wawahoji. Lakini, kinachoonekana wafanyabiashara wa kariakoo ndio wameiua kariakoo yao. TRA hawawezi kuhangaika na aliyelipa Kodi halali, wanashughulika na wakwepa Kodi...
  19. system hacker

    Kwa Tanzania vyama vya upinzani ni ulaghai. Lengo kubwa ni misaada ya wazungu

    Kimsingi, wale wote wanaopata shuruba kwenye siasa za upinzani ni wale wasio na ufahamu wowote kuhusu maana halisi ya upinzani kwa Tanzania. Lakini, wale wachache wanaoelewa huwa hawaingii kwenye misukosuko yoyote na watawala. Watu wengi kwenye siasa za upinzani wanatumika pasipo wao kujua...
  20. Shujaa Mwendazake

    Baada mpango wao wa Ulaghai wao kufeli na mambo kuanza kwenda kombo, Fei na genge lake waanza kutoa mapovu

    Naam, Baada ya hukumu ya awali iliyotolewa na kakamati ya TFF, Fei akiongozwa na genge lake walisema wataomba revie na ikibidi watajiandaa na kuchukua hatua ya kwenda CAS. Niltegemea utekelezaji wa walichokisema kuwa ndo jambo sahihi zaidi katika taratibu za kisheria, kwani baada ya hukumu...
Back
Top Bottom