Wateja wa Benki ya CRDB ambayo ndiyo mkopeshaji mkubwa wa Tanzania kwa mali na amana, wamepokea barua pepe za udanganyifu kutoka kwa matapeli wanaojifanya ni benki hiyo.
Katika shambulio hilo la hadaa, wateja wa Benki ya CRDB walipokea barua pepe zilizowataka kubofya kiungo (link) kinachotiliwa...