ulaghai

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mtakatifu Paulo, ulaghai wa kutumia misamiati tata, na umachiaveli

    Kwenye piramidi la vitu vyote vilivyo katika ulimwengu wa miili sisi wanadamu tumeketi kileleni kwa sababu ya urazini wetu. Katika mipaka ya utambuzi tuliyozaliwa nayo kama wanadamu, tunao uwezo wa kuvuna maarifa kutoka katika mazingira yetu, kufikiri kimantiki, kuteua malengo, kubuni mbinu kwa...
  2. Nigeria: Mwanamuziki D'banj akamatwa akituhumiwa kwa ulaghai wa fedha

    Msanii huyo wa Afrobeats amekamatwa kwa madai ya ulaghai baada ya mamilioni ya dola yaliyokusudiwa kuwasaidia vijana wasio na ajira kuanzisha biashara kuripotiwa kupotea. Msanii huyo ametajwa kuwa ni balozi wa Mradi huo wa N-Power ulizinduliwa na Rais Muhammadu Buhari Mwaka 2016 lakini...
  3. Marekani: Muuguzi Mkenya akiri makosa ya ulaghai wa mabilioni katika huduma za afya

    Muuguzi Mkenya mwenye umri wa miaka 42 amekiri makosa ya ulaghai katika huduma za afya, kusaidia ulaghai wa huduma za afya, kula njama ya kulipa na kupokea marupurupu, na makosa mengi ya kudanganya wachunguzi wa shirikisho la Marekani. ======= A 42-year-old Kenyan nurse has pleaded guilty to...
  4. Mbowe: Nimetoka Gerezani kwa moyo mweupe. Katiba ni ajenda yetu, Sisi sio magaidi

    MBOWE ANAZUNGUMZA MAAZIMIO YA CHADEMA, ASEMA ALICHOZUNGUMZA NA RAIS SAMIA Sehemu ya nukuu za Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe akizungumza na waandishi wa habari leo Ijumaa Machi 18, 2022: "Leo nazungumza na vyombo vya habari kwa mara ya kwanza baada ya miezi saba na nusu ya kuwa...
  5. Watanzania msidanganyike na Ulaghai wa PFIZER & MODERNA dhidi ya JANSSEN (J&J)

    Chanzo ya Pfizer-BionTech na ile ya Moderna zimetuia teknolojia ya mRNA (kutumia RNA ya kirusi cha corona kutengeneza chanjo) Chanjo ya Janssen (J&J) imetumia teknolojia ya kupandikiza RNA ya corona kwenye kirusi cha Adenovirus na kutengeneza chanjo. Chanjo za Moderna na Pfizer majaribio yao...
  6. Mikopo China, Watanzania tumezoea ulaghai

    Mentality ya waTanzania wengi ni kukopa bila ya kujua tutalipaje mkopo. Hii ni mentality ya kijinga sana na ni moyo in built unaohalalisha ulaghai. Anatoka kiongozi akijisifia kukopa mabilioni, lakini hana kabisa strategy ya namna ya kurudisha mkopo kwa vile moyoni anajua atamwomba...
  7. M

    Serikali ya awamu ya Sita imegeuka ya uwongo na ulaghai

    Kwa mambo yanavyokwenda ni vigumu kujua kuwa rais Samia yuko in charge ya mambo, au kuna genge la watu limemcorner rais wetu na kumtengenezea ajenda kwa manufaa ya kundi hilo binafsi. Rais alovyoanza kuongoza hii nchi, kila mmoja aliona nia yake nzuri, dhamira yake nzuri, na kiukweli alikong'a...
  8. V

    SoC01 Ulaghai unaofanywa na baadhi ya vyuo nchini, chukua tahadhari na usitapeliwe

    Vaa viatu vya mzazi/mlezi aliyejibana ili kijana wake apate elimu zaidi huku akiamini kabisa kuwa elimu ni daraja kuelekea mafaniko. Au mfikirie kijana aliyeamua kwa dhati kusoma kwa bidii ili tu kutimiza ndoto yake kupitia elimu. Bahati mbaya sana mwisho wa haya unakuja kuambiwa kuwa kile...
  9. J

    Tahadhari: Haribu Stakabadhi ya ATM baada ya kuitumia

    Unashauriwa kuharibu kwakuwa inaonesha jina la Benki, Namba nne za mwisho za namba ya Akaunti, kiasi kilichotolewa na kilichobaki. Taarifa hizo zikifika kwa mtu mwenye nia mbaya anaweza kuunganisha na taarifa nyingine na kufanya ulaghai kupitia wewe.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…