Wapendwa afya ni mtaji kwa kila kitu ukitaka kufahamu hilo umwa hata mafua tu ndio utajua afya ikipata shida kidogo tu hakika mwili ndio unaumia na hatimaye kudhoofu na kuchoka kabisa na mhusika kukosa furaha/amani.
Ukitaka kujua afya ni mtaji angalia ule msafara kwa kwenda kwa Babu...