Ni wazi kwamba kipindi hiki cha Mfungo wa Ramadhani biashara ya kitimoto imedorora. Jana na leo bucha nyingi hazina wateja kabisa, nyama zimenin'g'inia tu bila mnunuzi. Hali hii inatufanya sisi wenye mabucha ya kitimoto kuumia sana, maana hakuna mzunguko wa pesa.
Bucha yangu ipo hoi! Kawaida...