ulaji wa mafuta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Matumizi ya hii gari kwa mafuta hapa Dar. Kwa uzoefu

    Gari ni Toyota Wish 2010 (wanaiita new Model) kwa mkazi wa Bunju ofisi Posta. Inaweza ikawa na wastani wa Kms ngapi kwa lita moja? Kwa mwenye uzoefu please. Hapo fikiria umewasha AC muda wote maana ndo kazi yake. Hakuna kuzima wakati wa foleni.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…