ulaji wa nyama

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Habari mbaya kwa walaji wa Kitimoto: Huenda wengi wao wakaja kupata kifafa!

    Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) kimehadharisha walaji wa nyama ya nguruwe nchini, kuwa wanakabiliwa na hatari ya kupata kifafa. Utafiti wa kisayansi uliofanywa na SUA, umebaini kuwa baadhi ya nguruwe wana minyoo aina ya tegu ambao nyama yao ikiliwa bila kuiva vizuri, mlaji atapata...
  2. China inaongoza kwa ulaji wa nyama ya Nguruwe Duniani

    Nchi ya China ndiyo inayoongoza Kwa wananchi wake kwa ulaji wa nguruwe duniani. Inakadiriwa wananchi wa China hula wastani wa kilo 70 za kitimoto kwa mwaka. Nchi namba mbili ni Belarusia Ikifuatiwa namba tatu na Korea ya kusini, Jumuiya Ulaya na Vietnam kwa pamoja. Kwa Afrika, Afrika ya...
  3. Kuna uhusiano mkubwa kati ya mapepo na ulaji wa nyama ya nguruwe.

    Nimejiuliza kwa nini yale mapepo kwenye Biblia yaliomba yakaingilie nguruwe ambao walikuwa mbali sana na sio mbuzi, ngombe au kondoo? ( mathayo 8:28-). Nikajiuliza nani aliyebuni uongo kuwa mapepo/majini kuwa yanaogopa nguruwe na products zake? Nikakumbuka ni bwana mdogo Ibirisi maana uongo...
  4. Makabila wanayokula karibu wananyama wote nchini

    Naanza na mmakonde hawa jamaa ni kama Wachina Tu hawali Kinyonga tu hicho kimewashinda. Ila Mzoga wowote akiokota lazima uingie tumboni. Wahadzabe, hawa jamaa ni hatari porini hadi nyoka akiwaona anatafuta shimo la kuingia hawaachi kitu. Wasafwa wa Mbeya wanakula karibu kila nyama ila kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…