Msigwa sio wa kwanza kuondoka CHADEMA kuhamia CCM. Wapo waliotangulia kabla yake, kwa hiyo tunasema amefuata nyayo za wenzake akina Waitara, Silinde na wengine wengi. Kwa upande wa CHADEMA hili ni pigo kwa namna yoyote ambavyo watalichukulia, lakini kwa CCM ni mtaji. Na mitaji kama hii huwa CCM...