ulawiti binti wa yombo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Cute Wife

    Wakili Paul Kisabo akata Rufaa Mahakama Kuu kanda ya Dodoma dhidi ya uamuzi wa kufutwa kesi ya 'Afande'

    Wakuu, Wakili Paul Emmanuel Kilasa Kisabo amekata rufaa katika Mahakama Kuu ya Tanzania kanda ya Dodoma, dhidi ya Uamuzi wa Hakimu Nyambuli Tungaraja wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma ulioifuta kesi dhidi ya Afande Fatuma. Pia soma: Kesi ya Afande sakata la binti wa Yombo yafutwa...
  2. Heparin

    Nyundo na wenzake wakutwa na hatia, wahukumiwa kifungo cha Maisha Jela

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma, imewahukumu kifungo cha maisha gerezani washtakiwa wanne maarufu ‘waliotumwa na afande’, baada ya kuwatia hatiani kwa kosa la kubaka kwa kundi na kumwingilia kinyume cha maumbile binti, mkazi wa Yombo Dovya, jijini Dar es Salaam. Ni katika kesi ya jinai namba...
  3. Juice world

    Maoni yangu: Hao maafande wa tukio la binti wa Yombo Dovya hawatafungwa hata iweje

    Katika hii nchi ukitoa Rais, watu wanaofuata kupigiwa magoti ni askari na hawa jamaa huwa wanafanya walitakalo na hii imethibitika katika vitu vingi sana. Yaani kiufupi hao jamaa waliotuhumiwa kubaka na kulawiti hawatofungwa na wataishi maisha ya uraiani na kazi hawatofukuzwa sababu ni watu...
  4. M

    Afande alikyewatuma wabakaji afunguliwa mashtaka

    Kesi ya jinai iliyofunguliwa na wakili Paul Kisabo dhidi ya afisa wa polisi ASP. Fatma Kigondo anayetajwa kama "afande Kesi ya jinai ilifunguliwa na Wakilin Paul Kisabo dhidi ya Afisa wa polisi, ASPNFatma Kigondo anayetajwa kama "afande" inasubiri wito wa kupangiwa tarehe ya kusikilizwa ambapo...
  5. Kamanda Asiyechoka

    Mrakibu Msaidizi wa Polisi Fatuma Kigondo afunguliwa shtaka la kutuma vijana kufanya ukatili kwa binti wa Yombo

    Leo, 20.08.2024 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma imesajili (Admission No. 000058901) malalamiko (complaint) ya Wakili Kisabo dhidi ya Mrakibu Msaidizi wa Polisi (ASP) FATUMA KIGONDO ambaye ndiye “afande” aliyetuma genge lake la uhalifu kumbaka na kumlawiti JM. Pia soma: 'Afande'...
  6. S

    Kuna kiongozi yeyote wa CCM kalaani kauli ya RPC wa Dodoma kuhusu binti aliyebakwa?

    Baada ya RPC wa Dodoma kutoa kauli inayoonekana kuhalalisha kitendo cha binti kubakwa, watu wengi wakiwemo wanasiasa na wanaharakati, wamelaani kauli ile na kutaka RPC awajibishwe. Hata kuondolewa kwa huyu RPC bila shaka ni matokeo ya watu waliopoza sauti na si vinginenyo. Swali ni je, kuna...
  7. benzemah

    RPC Dodoma atumbuliwa baada ya kutoa taarifa tata ya binti kulawitiwa anaweza kuwa anajiuza

    Tumeona taarifa kwenye vyombo vya habari yenye kichwa cha habari kinachosema, "RPC; ANAYEDAIWA KUBAKWA NA KULAWITIWA ALIKUWA KAMA ANAJIUZA", kauli inayodaiwa kutolewa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma. Hayo yametokana na mazungumzo kwa njia ya simu na Mwandishi wa gazeti la Mwananchi ambaye...
  8. Cute Wife

    Polisi: Wanaotuhumiwa kubaka na kulawiti ni kama wavuta bangi, hawakutumwa na Afande, yule dada alikuwa kama anajiuza

    Wakuu, Naona tunaenda kufanyiwa maigizo tena na kuna mtu anataka kulindwa. Eti uchunguzi umebaini vijana wale hawakutumwa na 'afande na kwamba vijana wale walikuwa kama wavuta bangi tu na yule binti alikuwa kahaba! Mpaka utambulisho wa moja wao umebainika halafu leo maneno yanageuzwa hivi...
  9. Down To Earth

    Nimetokea kuichukia wimbo wa Mtoto Kautaka, kwa namna moja au nyingine umehusika kuchochea maovu

    Nimetokea kuuchukia sana huu wimbo😡😡 Huu wimbo umehusika kuchochea maovu na huenda utazidi kuleta maovu mengine mazito. Pia soma: Jeshi la Polisi lawakamata watuhumiwa 4 kati ya 6 waliofanya tukio la kumlawiti binti wa 'Yombo'. Wasema binti yupo salama Kila ninapousikia huwa nahisi namuona...
  10. Cute Wife

    Jeshi la Polisi lawakamata watuhumiwa 4 kati ya 6 waliofanya tukio la kumlawiti binti wa 'Yombo'. Wasema binti yupo salama

    Jeshi la Polisi ningependa kutoa taarifa ya uchunguzi wa tukio ambalo lilisambazwa katika mitandao ya kijamii kupitia picha mjongeo (video clip) kuanzia Agosti 2, 2024 ikimwonyesha binti mmoja akifanyiwa vitendo vya ukatili. Uchunguzi uliofanyika hadi sasa umefanikisha kumpata binti...
Back
Top Bottom