Hili wimbi la watu kulawiti watoto mbona limeanza kua kama fashion, saizi kila mtu anaona sifa kuonekana mitandaoni, mimi nashauri serikali ijaribu kufanya namna yoyote ili adhabu kali iwepo kukomesha hii tabia.
Mfano mtu analawiti mtoto wa miezi sita! Duh hii mbaya sana serikali ifanye jambo...
Mahakama ya hakimu mkazi wilaya ya Lindi imemhukumu Mohamed Said Selemani mwenye umri wa miaka 62 mkazi wa kijiji cha Ng'apa wilaya ya Lindi, kwenda jela kutumikia kifungo cha maisha na kumlipa muhanga fidia ya shilingi 1,000,000/= kwa kosa la kumlawiti mtoto wa miaka 4 jinsia ya kiume...
Sakata la mtoto wa kiume (3) kudaiwa amelawitiwa na watoto wenzie Jijini Arusha, limekuwa na sura mpya baada ya kesi kushindwa kufikishwa Mahakamani kwa madai kuwa waliotenda tukio hilo hawawezi kukabiliwa na kesi ya jinai kutokana na miaka yao kuwa chini ya umri wa kushtakiwa kwa kosa hilo...
Video credit: EATV
Familia yaomba Serikali kuwasaidia kupata haki ya mtoto wao ambae wanadai amelawitiwa shuleni. Wazazi wadai Serikali ya Mtaa na kituo cha polisi hakiwapi ushirikiano.
Wakifafanua sakata hilo Wazazi wanadai kuwa walipata mashaka baada ya kuona mtoto wao wa miaka 6 anajinyea...
Tatizo la kulawitiwa kwa watoto linalizidi kushika kasi nchini huku idadi ya visa vilivyoripotiwa kwenye kipindi cha mwaka 2016-21 vikiwa ni 5716 huku 87% ya visa hivi vikihusisha watoto wa kiume.
Mgawanyiko wa idadi ya wahanga ipo kama ifuatavyo-
Mwaka 2016, wasichana walikuwa 50 na wavulana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.