Hili wimbi la watu kulawiti watoto mbona limeanza kua kama fashion, saizi kila mtu anaona sifa kuonekana mitandaoni, mimi nashauri serikali ijaribu kufanya namna yoyote ili adhabu kali iwepo kukomesha hii tabia.
Mfano mtu analawiti mtoto wa miezi sita! Duh hii mbaya sana serikali ifanye jambo...