💼MHADHARA WA TISA (9)
Siku hizi wazazi wengi wapo busy kufuatilia tamthilia, kufikiria marejesho ya Vicoba, na kuperuzi MEMES huko facebook, Tik Tok, na Instagram kupitia smartphone zao. Hawana muda wa kufuatilia nyendo za watoto wao - eti wanatafuta pesa. Je, hizo pesa unamtafutia nani kama...