Siasa achana nayo tu jamani.......siasa ni nyoko.
Kila nikiwasikiliza na kuwaona na kurejea taarifa ya 'kusanyaji' kadhaa huko nyuma, naona kabisa hapa hii miamba inatafuta au imelenga bilioni kama tano Hadi sita hivi kufikia uchaguzi. Hiyo ni kutoka kwa tone-tone na wafadhili wengine. Mbili...
Hamna ukweli wowote kwamba Uingereza mnamo 2050 itakuwa nchi ya kislamu
Hakuna ukweli wowote kwamba Ulaya na Marekani wanaugeukia Uislamu kwa wingi
Wakristo wana hofu wakisikia hivyo
Waislam wana kitengo cha propoganda cha kueneza dini yao. Katika Uislam kuna kitu kinaitwa Taqiya, yaani...
Nini kinapalekea hawa Waafrika waliohamia Marekani na Ulaya kuwa wazalendo kindakindaki kwa mataifa yao mapya kuliko hata wale waliofika huko kupitia kizazi cha watumwa?
Hawa Waafrika wahamiaji wa hayo mataifa wanaringa nayo sana hadi kufikia kuwadharau Waafrika wenzao waliowaacha Africa!
Wao...
Wakuu mengi yanazungumzwa kuhusu uzuri na changamoto za maisha ya Ulaya na Marekani.
Wengi wetu tunaamini huko ndo watu wanaishi na sisi wengine huku ni wasindikizaji tu ila kuna wengine wanadai eti maisha ya huku bongo ndo mazuri kuliko huko ng'ambo.
Wakuu ukweli uko wapi maana mwenzenu...
Karne ya 18 hadi 20 huko Ulaya na Marekani kanisa Katoliki huko Ulaya na Marekani walikuwa na vituo vya kurekebisha tabia kwa wanawake hasa mabinti wa makundi mbalimbali wakiwemo single mothers, makahaba, wanawake walioonekana wajeuri na walioonekana mzigo kwa familia zao.
Wanawake wengi...
Amesema kuwa amechoka kupigana kwasababu zisizo na mbele wala nyuma, ameomba kuungwa mkono na Israel, Ulaya na Marekani.
Huu ni ushindi mkubwa na ukombozi kwa makobazi.
Chanzo: Adhuhuri Live (UTV).
Ndugu zangu Watanzania,
Kuongoza chama kikuu cha Upinzani Nchini kama CHADEMA inahitaji moyo,inahitaji ujasiri,inahitaji kujitoa na kujitolea muda na rasilimali zako kwa ajili ya kukijenga chama wakati na muda wote.inahitaji uvumilivu wa hali ya juu sana.
Chama kinahitaji Kiongozi na viongozi...
Baada ya Shirika la ndege la Tanzania (ATCL) kupigwa marufuku kukanyaga anga la Ulaya, mimi binafsi nimefurahishwa na hoja nzuri za kizalendo zilizotolewa na Watanzania wengi. Wengi wao wanalaani na kulaumu njia za kinyonyaji za Umoja wa Ulaya (EU) pamoja n washirika wake.
LAKINI mimi naona...
Baada ya Shirika la ndege la Tanzania (ATCL) kupigwa marufuku kukanyaga anga la Ulaya, mimi binafsi nimefurahishwa na hoja nzuri za kizalendo zilizotolewa na Watanzania wengi. Wengi wao wanalaani na kulaumu njia za kinyonyaji za Umoja wa Ulaya (EU) pamoja n washirika wake.
LAKINI mimi naona...
Kazi hizi ni zile ambazo ni chafu na zingine zina vyeti na zimo katika mfumo rasmi ulowekwa na wazungu ambazo zingine zalipa kishenzi.
Nimetumia neno kazi za kishenzi kutokana na mazingira ya kazi hizi na aina ya watu wanozifanya ambao wengine ni watu waso na familia au wenye aina fulani ya...
10 September 2024
Tamko la Pamoja la Mabalozi wa Umoja wa Ulaya, Ubalozi wa Uingereza, Canada, Norway na Uswisi kuhusu Matukio ya Hivi Karibuni Nchini Tanzania;
"Jumuiya ya Umoja wa Ulaya kwa makubaliano na Mabalozi wa Nchi Wanachama wa Umoja wa Ulaya nchini Tanzania, Ubalozi wa Canada...
Hii dunia ina maajabu na vichekesho vingi sana.
Inaaminika kuwa huwezi kuwa raisi wa Marekani na hata Uiengereza bila kuwaunga mkono Israel na bila kujali jina la chama kinachogombea katika uchaguzi
Katika kampeni zinazoendelea za uchaguzi nchini Marekani kila mgombea anajaribu kumpaka matope...
Mamlaka za afya ziko macho kutokana na kuenea kwa ugonjwa hadimu unaofanana na tetekuwanga ambapo Ureno ilisema Jumatano iligundua visa viwili, Uhispania inafanya majaribio kwa watu 23 wenye dalili za ugonjwa huo, na jimbo la Massachusetts la Marekani likithibitisha kisa kimoja
Uingereza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.