Mabinti wawili,mtu na dada yake walikwenda kutembea kijijini kwao pamoja na wazazi wao. Baada ya kuwasili kijijini pale waliamua kwenda kusalimu ndugu, jamaa na marafiki ambao walikua hawajawaona muda mrefu sana. Walianza safari ya kwenda kwa mama mmoja ambae alimlea dada mkubwa alipokua mdogo...