TURUDISHE TABASAMU KWA WATU WENYE ULEMAVU WA NGOZI.
Picha na: www.shutterstock.com
Kuelekea Tanzania tuitakayo ni muhimu kuandaa Sera, Sheria na Mipango ambayo itawalinda na kuwarudishia Tabasamu watu wenye ulemavu wa ngozi (Albinism).
Hakika ni Aibu kubwa kwa Taifa ambalo lina Miaka zaidi...
Habari ndugu zangu watanzania,
Kwanza poleni na msiba huu tena unaleta aibu katika jamii ya kitanzania, pia napenda kupongeza hatua mbalimbali zilizoendelea kuchukuliwa ni pamoja na wananchi kuandamana huko kagera , polisi nao kuwashikilia watuhumuwa wawili mpaka sasa kutokana na uchunguzi wa...
Ndugu zangu Watanzania,
Inaumiza sana, inasikitisha, inahuzunisha, inatia hasira, inaleta simanzi, inasononesha na kuleta uchungu mkubwa sana ndani ya Moyo kuona, kusikia, kutizama, kushuhudia na kupata habari kuwa kuna watu, watanzania wenzetu,wenye mioyo ya nyama na Damu.
Wanaweza kufanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.