Addiction ni tatizo lingine kabisa, unafanya kitu flani kinakupa raha, ukiendekeza sana kinakukamata akili na nafsi,
Kusema kuutibu mwili kwa kumeza vidonge, mizizi, kuogea dawa, kufukizwa, n.k. utahangaika sana, Tatizo sio mwili bali ni akili, mtu anaamua mwenyewe kwa hiari yake.
Dawa za...
Habari zenu ndugu zangu,
Nimekuwa nikipambana na tatizo la kunywa pombe kupita kiasi kwa muda mrefu. Nilianza kama njia ya kupumzisha akili, lakini sasa imekuwa janga kubwa.
Nimepoteza kazi yangu, mahusiano yangu na familia yameharibika, na afya yangu imekuwa mbaya. Ninajisikia hatia sana...
Nauza Kangala huku nafundisha huu mwaka wa kumi. Wateja wangu wakubwa ni walimu wenzangu. Huwa tunapiga Kangala na tunachanganya na pombe kali za bei rahisi ili kupata stimu.
Lakini tupo vizuri. Tunapiga kazi na wato wanafaulu. Ni kweli asubuhi huwa harufu inatema ila tunakuwa hatujalewa. Ni...
Asubuhi kabla ya kuanza shughuli zake anakunjwa energy drink
Mchana na jioni lazima anywe hizi pombe kali smart gin/ double kick. Ni mfumo wa maisha yake kwa kitambo sasa, tumpe conclusion gani kijana huyu.
Hii kitu ina hasara nyingi tofauti na faida yake, hivi unawezaje kung'ang'ania biashara isiyokuwa na faida.?
Ndugu zangu sote tu mashuhuda pombe ina madhara makubwa hasa unapokuwa addicted.
Unapoteza utashi wa akili na inaleta madhara makubwa ndani ya kiungo cha mwili, hvi ata kuacha unywaji...
Ulevi wa pombe haupo wa aina moja. Kuna aina kuu tatu.
1. Hamu kali ya pombe. Ulevi wa aina hii ni ule ambao mtu anakuwa na hamu kali sana ya pombe kiasi kwamba hawezi kufanya wala kuwaza jambo lingine mpaka aipate.
2. Kushindwa kujizuia kutoendelea kunywa. Mlevi wa aina hii akianza kunywa...
Naomba ufafanuzi,
Mimi ni introvert mtaa mzima wanaelewa kuwa sina makuu na mtu. Siongeagi na mtu yoyote pasipo sababu za msingi.
Sasa hapa ninapopanga kuna mpangaji analewa then ananigonga madirisha yangu bila sababu. Nimefungua dirisha na nimemsalimia na kupitisha mkono vizuri na kumpa ngumi...
UPDATE: Nimepewa wazo na Mshana Jr na Daudi Mchambuzi kumuacha Polisi au mahabusu muda mrefu, Bado naendelea kupokea maoni
Kuna ndugu yangu ni mlevi sana, Mara kwa mara nimelazimika kumtoa kituo cha polisi kwa kuwapa pesa za kubrashia viatu ma afande ambao tunajuana, Matatizo hayo yanatokea...
Hakuna siku nzuri kama siku nikiwa natoka kazini huku nikijua kesho yake sintoingia (off), koo huwa inanikereketa sababu ya kiu ya pombe huwa natamani nipae ili niwahi kufika mjini nianze kuzigwida.
Mara tu nifikapo town hatua ya kwanza huwa ni kwenye ATM kuvuta mpunga, nikiwa na salio kwenye...
Wana JF,
Kwa yeyote anejua dawa au mbinu ya kumfanya mlevi kuacha pombe. Nina ndugu yangu yeye bila kilevi cha pombe siku haiendi kabisaa na hii imekuwa inarudisha maendekleo yake nyuma.
Wanaoijua tiba mnijuze niokoe maisha yake na familia yake.
Ushauri na Maoni yaliyotolewa na wadau
---
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.