Habari zenu ndugu zangu,
Nimekuwa nikipambana na tatizo la kunywa pombe kupita kiasi kwa muda mrefu. Nilianza kama njia ya kupumzisha akili, lakini sasa imekuwa janga kubwa.
Nimepoteza kazi yangu, mahusiano yangu na familia yameharibika, na afya yangu imekuwa mbaya. Ninajisikia hatia sana...