Shirikisho la Soka la Tanzania (TFF) limewafungia kujihusisha na mpira Mwenyekiti wa Kitayosce FC inayoshiriki Ligi daraja la Kwanza (Championship), Yusuph Kitumbo na kocha wa soka, Ulimboka Mwakingwe baada ya kutiwa hatiani kwa kosa la upangaji wa matokeo
Wamekutwa na hatia ya upangaji wa...