ulimwengu

Thomas Emanuel Ulimwengu (born 14 June 1993) is a Tanzanian football striker who is currently playing as a forward for TP Mazembe and the Tanzania national football team.

View More On Wikipedia.org
  1. ngara23

    Starehe visiwani ndani ya kisiwa cha Ukerewe, ule ni ulimwengu mwingine

    Wanasema tembea uone Ilikuwa mwaka 2017, nikifika visiwani Ukerewe nikiwa na project ya UNDP, aisee nilijifunza na kuona maajabu ambayo sikuyatarajia Ukerewe ni Moja ya wilaya za mkoa wa Mwanza Ukewe ni kisiwa ndani kisiwa hicho Kuna visiwa vingine zaidi ya 20 Nilitembelea baadhi ya visiwa...
  2. Carbon 4real

    Anashikilia rekodi ya kuwa muigizaji asiyependwa kwenye ulimwengu wa filam...

    Jamaa alionekana kwenye series ya Game Of Thrones akitambulika mule kama Ramsey Bolton na katika tafiti kutoka kwa watazamaji jamaa anachukuliwa kama muigizaji mwenye roho ya kikatili sana,na hili alilithibitisha kwenye series ya Game Of Thrones baada kucheza scene ya kuuwa familia yake pamoja...
  3. Chrispino Henry

    Nadharia za Kuvutia na za Kushangaza Kuhusu Ulimwengu na Uhai.

    Habari hii inaangazia nadharia zisizo za kawaida zinazozungumzia mada kama vile ulimwengu wa kuiga, ulimwengu pamoja, safari kwa wakati, na ulimwengu wa pili. Zinachochea mawazo na kutoa mtazamo mpya juu ya asili ya ulimwengu na mahali tulipo. Kuna nadharia nyingi za kuvutia na za kushangaza...
  4. Davidmmarista

    Jua Kali latawala Tanzania: Hali ya Hewa kila Mkoa na Uzoefu wako ni upi?

    Habari za wakati huu wakuu! Katika siku za hivi karibuni, tumeshuhudia ongezeko la jua kali katika maeneo mbalimbali nchini Tanzania. Kwa mujibu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), baadhi ya maeneo yanatarajiwa kuwa na hali ya ukavu kwa ujumla katika kipindi cha tarehe 01-10 Machi 2025...
  5. Infropreneur

    Kwenye dini kila kitu kinafanya kazi katika ulimwengu wa kiroho, Lakini likija suala la pesa 💵 hilo ni la kimwili.

    Kwenye imani za kidini utaambiwa maisha yako si ya kimwili ni ya kiroho. Lakini likija suala la pesa hilo ni la kimwili na wala halina mjadala kuhusu kutoa hela..😂 Kama maisha yako ni ya kiroho, Kwa nini utoe fedha kimwili? Kama maisha yako ni ya kiroho, Hata hela na sadaka inabidi zitolewe...
  6. Rorscharch

    Nimegundua Watanzania tuna elimu haba sana juu ya ulimwengu na sheria zake (universe and it's laws): Mwenye swali lolote karibu tuchangamshe bongo

    Ulimwengu (universe) una maajabu yake ila kwa Watanzania sidhani katika watu 100 unaweza kupata hata wawili wenye kujiuliza maswali na kuyatafakari kwa kina Enyi ndugu zangu ambao mmetenga baadhi ya seli zenu za ubongo kufahamu mambo nje ya Simba na Yanga karibuni sana tujifunze Uliza swali...
  7. T

    Barua ya 50 kwa ulimwengu kupotea kwa maisha ni njia nyingine ya kufa

    Unahitaji nini katika maisha yako? umefahamu ni nini unapaswa kufahamu ili upate unacho kihitaji? umefahamu jinsi ya kufanya katika unacho kifahamu?. Ni muhimu sana ujue nini uhitaji, kufahamu unacho kihitaji kwa mapana yake na kufanya kwa vitendo kwasababu maisha yana upepo kila pande,upepo...
  8. Robert Heriel Mtibeli

    Je, Marekani kuanza kusitisha baadhi ya misaada kutaathiri Demokrasia katika nchi za ulimwengu wa tatu ikiwepo Tanzania?

    Mpo salama wote! Awamu ya pili ya Donald Trump imekuwa na Sera korofi kwa mataifa mengine. Sera ya isolation ni Sera ambayo nchi Fulani hujitenga na mataifa mengine na kufungia Fursa za kiuchumi ndani ya taifa husika. Tunajua kuwa Demokrasia ilianzia nchi za Ulaya hasahasa nchi ya Ugiriki...
  9. Beira Boy

    UNABII: mwaka huu nchi itapigwa tetemeko kubwa la ardhi , pamoja na ulimwengu kwa ujumla

    Amani iwe kwenu watu wa MUNGU Serikali ijiandae kwa janga kubwa ambalo liko mbele yetu ndani ya mwaka huu Kuna tetemeko kubwa sana la ardhi litaipiga inchi yetu litaipiga Dunia EARTHQUAKES EARTH POWER EE BWANA YESU KRISTO tusaidie AMINA SAYUNI BOY
  10. Magical power

    Ulimwengu wa 3D Hadi Ulimwengu wa 5D🔰

    🔰Ulimwengu WA 3D Hadi Ulimwengu wa 5D🔰 👉Hivi sasa ulimwengu wetu umegawanywa katika vipimo tofauti ambavyo unaweza kuchagua na kuamua ni njia gani unataka kwenda. Katika makala hii, napenda kueleza umuhimu wa kuchagua mwelekeo sahihi ili kuishi chini ya dhiki na maisha ya afya. 🧿🧿🧿Ulimwengu...
  11. KENZY

    Je, kwenye ulimwengu hali ya utupu inawezekana?

    Hello peoples.. Hebu tujisaule hapa kwa kuchanganya maarifa juu ya UTUPU kwenye ulimwengu, swali la msingi ni kuwezekana kwa hali ya utupu, namaanisha hivi mpaka sasa binadamu na teknolojia yake bado hajaweza kufikia hatua ya Kutengeneza utupu (vacuum), kwa asilimia mia!. Ataweza kutoa hewa...
  12. itakiamo

    Hii picha katika ulimwengu wa kiroho ina maana gani?

  13. KING MIDAS

    Dalili nane za kuonyesha unaishi kwenye malango yaliyofungwa (closed gates) katika ulimwengu wa roho

    ZIFUATAZO NI BAADHI YA DALILI NANE MUHIMU ZINAZOONYESHA KUWA MALANGO YAKO YAMEFUNGWA NA ADUI🦸🦸🦸 1. UNAPOTEZA KIBALI NA BADALA YAKE UNATAWALIWA NA ROHO YA KUKATALIWA(SPIRIT OF REJECTION). Inawezekana ikawa kwenye ndoa,uchumi, biashara,uzao,afya,familia,uchumba,kazi,siasa,uongozi(utawala). Ukiona...
  14. A

    Je, wajua ulimwengu ukupao kila kitu utakacho katika kanuni asili ya maumbile? Sehemu ya pili

    JE WAJUA ULIMWENGU UKUPAO KILA KITU UTAKACHO KATIKA KANUNI ASILI YA MAUMBILE? - SEHEMU YA PILI Leo katika mwendelezo wa mada hii, tutaangazia Kanuni nyingine ya Hermes. Katika sehemu ya kwanza tuliona Kanuni za Chini Juu, Juu Chini na Kanuni ya Mtetemo. Ahsanteni kwa nyote mliovutiwa na Mada...
  15. Dogoli kinyamkela

    Huu ni ulimwengu wa udanganyifu

    HUU NI ULIMWENGU WA UDANGANYIFU ✍️Kuweza kuelewa kuhusu ulimwengu asili lazima ujiunge na wakushi yaani watu wa asili,huko utaweza kutumia mimea,mafuta ya mimea ,wanyama na ndege ,mawe ya kiroho ,madini ,maji,hewa ,udongo na moto ilikuweza kuufikia ulimwengu halisi. ✍️Kupitia tahmuli na...
  16. Lethergo

    Ushauri Namna gani utailinda Pesa yako : Sarafu (Coin) ina nguvu kwenye ulimwengu kuliko vile unavyofikiri

    Wakuu! Huu ni ushauri wa kuilinda pesa yako na sio simulizi za 'Chuma Ulete'. Pesa ina nguvu, hapa nitazungumza na wale wote wanaotaka kuimiliki pesa. Pesa ninayoizungumzia zaidi hapa ni pesa ya Sarafu (Coin) ambayo inatumika katika maluweluwe mengi sana. Pesa ya Karatasi au Noti...
  17. Dogoli kinyamkela

    Jinsi ya kufanya ili ulimwengu ukusikilize

    Imeandaliwa na kuandikwa na Dogoli kinyamkela 💞UMSIKILIAYE NDIYE AKUSIKILIZAYE 🗣️Kuna vitu katika jamii vikifanyika vinachukuliwa Kama uchawi au kiini macho, Siyo kwamba kiini macho hakuna, vipo na vinafanyika kila siku pasipo wengi wetu kuvitambua Kama Ni viini macho. ✍️Ulimwengu wote...
  18. Mungu niguse

    Hivi ulimwengu unaendeshwa kwa namba, maombi au karma?

    Katika haya Maisha ya ulimwenguni kuna code ambazo ni ngumu kuzielewa. Wapo wanaotumia namba kufanikisha mambo yao hawa hauwezi kuwakuta kanisani au msikitini. Hawa wanajua kwenda sawa na mitetemo ya kila mwaka. Kuna hawa wengine wao wanaamini katika maombi tu yawe maombi ya giza au nuru...
  19. Mshana Jr

    Ulimwengu mikononi mwa Freemason, Satanism na Paganism

    Asili inachukua mkondo wake.. Dini zilizotegemewa kama kimbilio la kumuokoa mwanadamu kiroho sasa zinashuhudia anguko kubwa kuliko wakati mwingine wowote ule Kwasasa dini nazo ni mateka wa imani za siri za kidunia.. Na hapa namaanisha dini zote zinazomuabudu Mungu moja Kwasasa dini zetu . Ni...
  20. Manfried

    Vifo vya wagombea urais mwaka 2015 (Magufuli, Lowassa na Anna Mghwira) vinatoa tafsiri gani katika ulimwengu wa kiroho?

    Mwaka 2015 nature au universe ilizungumza na watu na watu wakazungumza na nature . Nature ilihitaji mabadiliko kupitia Kwa viongozi waadilifu na ambao wapo tayari kuongoza nchi. Walichokosea Ccm, Chadema na Act ni kushindwa kutap na universe ili kupata matokeo chanya. Magufuli - huyu nature...
Back
Top Bottom