Enzi zile za kukaa darasani, ukisikiliza mwalimu kwa saa kadhaa huku ukipiga miayo, zinaelekea ukingoni! Teknolojia imefanya mambo kuwa rahisi sana, na sasa unaweza kujifunza chochote unachotaka kwa kubofya tu simu yako au kompyuta. YouTube, Udemy, Coursera, hata TikTok zimekuwa madarasa mapya...