ulimwengu wa kiroho

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Infropreneur

    Kwenye dini kila kitu kinafanya kazi katika ulimwengu wa kiroho, Lakini likija suala la pesa 💵 hilo ni la kimwili.

    Kwenye imani za kidini utaambiwa maisha yako si ya kimwili ni ya kiroho. Lakini likija suala la pesa hilo ni la kimwili na wala halina mjadala kuhusu kutoa hela..😂 Kama maisha yako ni ya kiroho, Kwa nini utoe fedha kimwili? Kama maisha yako ni ya kiroho, Hata hela na sadaka inabidi zitolewe...
  2. K

    Hii ndoto ina maana gani katika ulimwengu wa kiroho?

    Wakuu, Hapa nimeshtuka toka usingizini maana najihisi kama sijui nilikua nimekufa vile. Eti nimeota niko juu mbinguni, niko na ndugu na jamaa zangu waliokufa siku nyingi, tukawa tunaiangalia dunia kutokea mbinguni, tukawa tunashangaa jinsi watu huku duniani wanavyoteseka, me nikawa nawaambia...
  3. itakiamo

    Hii picha katika ulimwengu wa kiroho ina maana gani?

  4. Manfried

    Vifo vya wagombea urais mwaka 2015 (Magufuli, Lowassa na Anna Mghwira) vinatoa tafsiri gani katika ulimwengu wa kiroho?

    Mwaka 2015 nature au universe ilizungumza na watu na watu wakazungumza na nature . Nature ilihitaji mabadiliko kupitia Kwa viongozi waadilifu na ambao wapo tayari kuongoza nchi. Walichokosea Ccm, Chadema na Act ni kushindwa kutap na universe ili kupata matokeo chanya. Magufuli - huyu nature...
  5. Stability

    Yoda na Infropreneuer njoeni hapa niwaelekeze kitu kuhusu upingaji wenu wa ulimwengu wa kiroho

    Yoda Infropreneur Kwanza Infropreneur unapokuwa unafanya debate au open dialogue usipende kuweka hisia mbele, weka intuition mbele, maana una bwaja bwaja sana. Ni kweli seeing is believing kwamba mnahitaji uhakika wa shetani physically, Mungu physically na uchawi physically ndio kweli muamini...
  6. nipo online

    Nimeokota shilingi 1,000: Je, nini madhara ya kuokota pesa katika ulimwengu wa kiroho?

    Nimeikuta barabarani nikainama kuokota, sasa nashindwa ama nasita kufanya matumizi isije ikawa mtego wa ufalme wa giza. Wabobezi wa masuala ya kiroho naomba ufafanuzi
  7. Venus Star

    Namna ya kuzungumza na majini na viumbe wengine katika ulimwengu wa pepo

    UTANGULIZI Maisha tunayoishi yamegawanyika katika namna mbili. Ulimwengu wa Mwili na Ulimwengu wa Pepo. Binadamu ni manifestation yetu katika ulimwengu wa mwili kutokea katika ulimwengu wa pepo. Mtu anapozaliwa tunaanza kumfundisha mambo ambayo anayaona kwa damu na nyama. Kwahiyo elimu kubwa...
  8. thegalaxy

    Unaota kwasababu ukilala nafsi yako hubeba siri,na taarifa zako zote kuzipeleka ulimwengu wa kiroho

    Mara zote ndoto huongea ukweli kwasababu ndoto,ni taarifa inayotokea katika ulimwengu usio na maamuzi ya kibinadamu...na ulimwengu huo huwa hausemi uwongo. Ndoto huwa inaonekana ya uongo kwasababu, aliyeitafsiri ameitafsiri tofauti na ukweli ulivyo...hivyo huonekana kama ni haikua na maana...
  9. E

    CCM imebakisha miaka michache sana kuitwa chama tawala Tanzania

    Katika ulimwengu wa kiroho CCM inaonekana imebakisha miaka michache sana ya kuitwa chama tawala Tanzania Sitaki kusema sana lakini wacha tuone itakavyokuwa. Lakini kama wanavyosema kwenye ulimwengu wa kiroho ukikataliwa basi na kwenye ulimwengu wa kawaida inakuwa hivyo hivyo.
Back
Top Bottom