Wakuu,
Hapa nimeshtuka toka usingizini maana najihisi kama sijui nilikua nimekufa vile.
Eti nimeota niko juu mbinguni, niko na ndugu na jamaa zangu waliokufa siku nyingi, tukawa tunaiangalia dunia kutokea mbinguni, tukawa tunashangaa jinsi watu huku duniani wanavyoteseka, me nikawa nawaambia...