ulimwengu

Thomas Emanuel Ulimwengu (born 14 June 1993) is a Tanzanian football striker who is currently playing as a forward for TP Mazembe and the Tanzania national football team.

View More On Wikipedia.org
  1. Hapana duniani watu wanaojinasibu wanaujua ulimwengu kumbe hawaujui ulimwengu wanaouishi!

    Sikia! Kila kitu kina mlango ili ukiingie! Hata wanzinzi, wezi, mafisadi, nk kabla ya kufanya tukio ujiuliza nitaingilia wapi? Ukitaka kuingia kwako hata chumbani kwako lazima upitie mlangoni! Sijali kama unaamini au huamini (atheists) lakini ujue kuna mfumo uliounda ulimwengu tunaoishi una...
  2. Ukiona hujakipata ukitakacho elewa bado hujakitaka haswa. Ulimwengu unatoa chochote atakacho mtu.

    Katika hali ya kustua ni ukweli kuwa tumekuwa na tabia ya kujiridhisha na kujiliwaza kuwa tumetiabidii sana ila hatujayapata tuyatakayo lakini uhakika ni kuwa hatujataka haswa tuyatakayo. Ulimwengu una kila tunachotaka na unaweza kutupa ila ni mpaka tutake haswaa. Hakuna mtu aliyetaka kitu kwa...
  3. Zifahamu nguvu ya sheria za siri za ulimwengu

    THE HIDDEN POWER OF THE UNIVERSAL LAW NGUVU YA SHERIA ZA SIRI ZA ULIMWENGU 👉Hili ndilo Neno la Mungu, sheria 12 za ulimwengu ni sheria zilizowekwa au kusetiwa na Ile Nguvu kuu tuliyokubaliana kuwa ndio Chanzo Cha kilakitu tukaiita MUNGU Katika dini/ENEGY kisayansi,ROHO katika Asili ama...
  4. L

    Rais Samia: Nazunguka Ulimwengu Mzima Kutafuta Fedha Kuwawezesha wanawake Wa Afrika Wapate Nishati Bora ya Kupikia

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu mpendwa amesema ya kuwa ajenda ya nishati bora ya kupikia ni ajenda ya Afrika na ni ajenda ambayo ameianzisha yeye na yeye ndio champion katika kuchochea ajenda hiyo. Amesema ya kuwa anazunguka Ulimwenguni kwote kutafuta fedha kwa ajili ya kuwawezesha wanawake...
  5. Ulimwengu wa cashless economy ni muarobaini

    Hongereni kwa shughuli za ujenzi wa Taifa! Awali ya yote nataka kuangazia maada tajwa ,"cashless economy" inahusu matumizi ya teknolojia na mifumo ya kidijitali na kurahisisha shughuli za kifedha bila kutumia pesa taslimu,shughuli zote za kifedha zinahusisha matumizi ya malipo kupitia njia za...
  6. Nyota wa Soka walio anza kama Ball Boys…wangapi umewatambua?!

    Tuanze na Gerald na Arnold na Gerard na Kovacic…
  7. Kuna dimensions ngapi?

    Tuchukulie mfano wa shuka. Uzi uliotumika kushona shuka ni 1 dimension. Ukiurefusha unaweza kufika mamia ya mita kwa urefu. hata mwisho wake unaweza usiuone. Shuka lililoshonwa ni 2 Dimension. Linatoshea kwenye kitanda cha tano kwa sita. Ukilikunja hilo shuka linakuwa 3 dimension. Linakuwa...
  8. Dunia haina huruma, Vijana tunapitia mengi sanaaa kwenye huu Ulimwengu. Soma hii Mikuki

    INTRODUCTION:- Sina mengi, hebu soma hizi screenshots..!!! SCENARIOS:- PISI YA KWANZA. School mate wa Advance PCB, Nilipost picha Insta nipo nanenane na wateja (waliohudhuria banda letu la maonyesho) nawaelezea fursa mbalimbali. Wakati nafundisha/naelekeza raia, Afisa Habari wetu akanipiga...
  9. Haya ndio mambo ya uhakika katika niliyojifunza katika ulimwengu wa roho

    KARMA - kuhusu karma hiii inafanya kazi kwa 100% jinsi unavyowaombea WATU mema hayo mema na wewe lazima uyapate Unaposaidia watu in positive way lazima na wewe uneemeke ikiwa sio wewe watoto wako. Kusaidia ni njia namba moja inayoleta MAFANIKIO kuna watu huwa hawaishiwi wala familia zao...
  10. Ingekuwaje laiti tungeishi katika ulimwengu ambao hatuogopi kujajiwa au kuhumiwa

    Ebu fikiria unaishi maisha ambayo hakuna anayekujaji kwa matendo yako,wala huofii watu watasemaje kuhusu mambo yako,bilashaka ungekuwa ulimwengu mmoja amazing sana. Lakini bahati mbaya sana tunaishi kwa kujajiana sana kwa kila matendo tunayofanya,mfano ukiwa mtoa ushauri mzuri utaambiwa...
  11. Dunia inatembea juu chini inapokosekana imani/dini. Leo nathibitisha kuwa imani ni muhimu kwa usalama wa ulimwengu

    Nimeshawahi kuchapisha bandiko mbalimbali yenye mlengwa wa kuhoji/kupinga vikali uwepo wa Mungu mkuu hoja zangu zilikuwa based on theories nadharia, ufahamu na akili/rational thinking katika kutambua uwepo wa Mungu sikufanikiwa kutambua uwepo wake katika kuyaongoza maisha yetu, ila nimekuja...
  12. Ingekuwa vipi ulimwengu kama kusingekuwa na dini, dunia bila dhambi kipimo cha uovu nini?

    Ingekuwa vipi kama dini hazipo, ni wapi watu wangepata maarifa na taratibu za kuishi kwa hekima? Ni wapi tungepata sheria na kanuni za kutatua changamoto za kiroho? Naelewa bado dini zipo lakini maovu yanaendelea, je ingekuwaje kama dini hazikuwepo kabisa? Inamaana maovu yangezidi na hakuna wa...
  13. Z

    Nafikiri Darwin aliudanganya ulimwengu nao ukadanganyika

    Darwin proposed that species can change over time, that new species come from pre-existing species, and that all species share a common ancestor. In this model, each species has its own unique set of heritable (genetic) differences from the common ancestor, which have accumulated gradually over...
  14. A

    Mungu aliona wapi mfano wa ulimwengu ndiyo akauumba hivi?

    Eti wakuu. Ebu mnieleweshe kidogo kuhusu hili. Mfano : Mtu anapotaka kujenga nyumba, lazima kuna kuwa na ramani ya nyumba aliyo iona mahali labda akavutiwa nayo na yeye akaenda kujenga ki namna ile. Je, Mungu wakati anaumba ulimwengu na kila kilichopo (viumbe hai na visivyo hai) na...
  15. SoC04 Tanzania tuitakayo: rasilimali watu kwenye ulimwengu wa sayansi na teknolojia

    Tanzania ni nchi iliyojaliwa kudumisha amani ya muungano wa nchi ya Tanganyika na Zanzibar tangu tarehe 26 Aprili, 1964 barani Afrika na kubarikiwa rasilimali za kipekee kutoka kwa mwenyezi Mungu zenye tija ya maendeleo. Mfano: madini ya tanzanite. TANZANIA TUITAKAYO miaka 5-25 ijayo. Si rahisi...
  16. AI (Artificial Intelligence) inaupeleka ulimwengu kwenye uharibifu mkuu, kwanini nawaza hivi?

    TWIME TUBITE Napenda kuufahamisha umaa na mhariri mkuu kwamba mjadala huu ulifaa uwe kwenye technology,Lakini mantiki yake inafaa kujadiliwa na kusomwa na watu wenye maulizo yasiyo ya kawaida. ------------- Akili bandia, Kuna binadamu wenzetu wanawaza na kutenda kwa namna ya kipekee sana, ama...
  17. R

    Nilitoa rai kwa wanaharakati na chadema kuwa waambie ulimwengu hivi kuhusu kupewa rasilimali zetu na Watawala kama walivyofanya wakenya. Soma bango

    na kwetu hili linatufaa kuimbia dunia, kesho tukiwafukuza wasione tunavunja sheria za mikataba ya kimataifa!
  18. Nguvu za ulimwengu na utakaso wa kiroho

    NGUVU ZA ULIMWENGU. Nguvu za full moon. Full moon ya mwezi June itakuwa kuanzia tar 22 Hadi 24 . Mambo ya kufanya . 👉Kuachilia. Kuachilia ni sehemu ya kujiponya mwenyewe na kutua mizigo na mahangaiko ambayo yameweza kukusumbua kwa muda mrefu . Waweza achilia roho ya madeni,roho ya kuchukiwa...
  19. Tumeshindwa kuumiliki ulimwengu wetu kwa kuutamaani ulimwengu wa Hadithi

    🌳TUMESHINDWA KUUMILIKI ULIMWENGU WETU KWA KUUTAMANI ULIMWENGU WA HADITHI.🌳 Ulimwengu wa kweli umetengenezwa katika hadithi isiyo furahisha sana, unaonekana ni ulimwengu ulio jaa mateso ya kila namna, kisha Ulimwengu wa NADHARIA ndiyo umejaa raha za kila namna na umeitwa ulimwengu mpya...
  20. Tabia ya kusalimiana kwa kushikana mikono ina madhara makubwa sana katika ulimwengu wa roho

    SALAM ZA KUSHIKANA MIKONO. Usipende Sana kusalimiana kwa kushikana mikono kwa sababu kupitia kushikana mikono huko utaibiwa nyota Yako watu wanauchawi huo ikitokea tu umeshikana mikono na mtu mwenye huo uchawi basi nyota Yako atakuwa ameibeba mtu huyo. Kuanzia hapo mambo Yako utayaona yameanza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…