Jana, kuna mtoto wa form 2 aliniuliza ''Nini maana ya ulimwengu?"
Mimi Nikamjibu, "Ulimwengu, Ni Kila kitu kilichopo sasaivi (wewe hapo,vitu vyako vyote, watu wako wote wa karibu,watu wote wa Mbali, Kabila zote, Rangi zote, Wanyama wote, mimea yote, viumbe vyote, majengo yote,magari...