WATAALAMU wa anga hufurahia sana kupiga dunia picha wanapoiona ikiwa kubwa kupitia dirisha la chombo cha angani. “Huo ndio mwono bora zaidi unapokuwa angani,” akasema mmoja wao. Lakini dunia yetu huonekana kuwa ndogo sana ilinganishwapo na mfumo wa jua na sayari zake. Dunia zipatazo milioni moja...