Taifa letu la Tanzania limepiga hatua kubwa sana katika Demokrasia toka Rais Dkt Samia alivyoingia madarakani 2021 Ameimarisha demokrasia nchini.
Ameimarisha uhuru wa kujieleza, maridhiano ya kisiasa, na uwajibikaji wa viongozi.
Amefungua milango kwa majadiliano ya...
Japani ilipitwa na China 2010 na kutoleqa nafasi ya pili, kumbuka Japani imekaa nafasi ya pili kwa miaka 40.
Sasa mwakani tena inatolewa nafasi ya 3 hivyo kuangukia nafasi ya 4 ambayo nayo huenda ikaja kuotelewa tena.
Ninacho kiona Japani ni kufuata mkumbo wa USA, mfano India kwa sasa anapata...
Dua, maombi, mifungo ya Mara kwa Mara ndiyo Siri ya mafaniko ya Israel.
Taifa la Israel linaombewa Sana duniani na mataifa yote.
Jambo la kushangaza hata wa Palestina na wairan wakristo wanaomba kwa ajili ya Israel.
Moseb Hassan Yosep, mtoto wa muasisi wa HAMAS ni miongoni mwa wa Palestina...
Miongoni mwa watu wenye bahati ni watu wa jamii forum.
Tuache ubishi, tukubali ufahamu tunatofautiana. Kile usichikijua wewe Haimanishi wengine nao hawajui.
Hizi Vita zinazoendelea kwa wakubwa hazitapoa. Kuna jambo la hatari Sana hapo Mbeleni kidogo. Hatari hii kubwa itawakumba wanadamu wate...
Adamu: Mwanadamu wa Kwanza Ulimwenguni
Adamu ndiye mwanadamu wa kwanza kuishi ulimwenguni.
Kuumbwa kwa Adamu
“Bwana Mungu akamfanya mtu kwa mavumbi ya ardhi, akampulizia puani pumzi ya uhai; mtu akawa nafsi hai’’ (Mwanzo 1: 26-27; 2:7)
Binadamu wa kwanza ulimwenguni, Adamu na mkewe Hawa. Wote...
66% ya kaya nchini Marekani zinamiliki wanyama kipenzi.
Kaya za Marekani zina takriban jumla ya mbwa kipenzi milioni 62 na paka milioni 37.
Samaki wa majini wa maji safi hushinda tuzo ya ya wanyama weng kwani kuna jumla ya milioni 139.3 nchini AMerika.
Takriban 2.5% ya kaya za Marekani zina...
Wakristo ma million ulimwenguni kote wako kwenye maombi ya kuliombea taifa LA Israel🇮🇱
Kuna vikundi vingine vimeenda mbali na kutangaza Mifungo ya siku kadhaa na kuomba kwa ajili ya Israel
Cha ajabu hadi huko Iran, wakristo Wanaliombea taifa LA Israel🇮🇱.
Nini maana yake? Israel ni taifa ni...
Tulikuwa na dili za asili kila pahala ulimwenguni.. Kwenye baadhi ya maeneo mpaka leo zipo na zinaheshimika sana!
Dini hizi ni dini zenye imani juu ya miungu.. Zisizoamini katika Mungu mmoja
Binadamu huwa ni mwepesi kuchoshwa na kitu kilekile kwa wakati wote.
Zikaingia dini zenye kuamini...
HERI YA SIKU YA VIJANA ULIMWENGUNI
Tangu pale Vijana wamekuwa vinara wa maendeleo kwenye bunifu za kidigitali, leo tunawatakia Vijana wote kuendelea na moyo wa kufanya bunifu zaidi zitakazotengeneza ajira nyingi.
Heri ya siku ya vijana Duniani
SamiaAPP
KaziIendelee
Hello!
Niliwahi kupost mada kama hii miezi michache iliyopita. Leo ninaipost tena baada ya kufanya utafiti tena na tena.
Watu wengi wanadaiwa sio mchezo. Hata Mimi niliwahi kuvamiwa na roho ya madeni, madeni yanamsogeza mtu karibu na kifo, madeni huondoa amani katika familia.
Katika mipango...
Habari ya wakati huu.
Wakuu mimi sio muandoshi mzuri ila kuna jambo nimeliona kule mtandao wa X kutoka kwenye akaunti fulani akizungumzia habari za matrix na mambo kadhaa ya ulimwengu kwa mifano ameonesha yote yanayotokea sasa yalishapanga yamekua programmed na system za giza zinazotawala...
Akiendelea kumsifu Waziri Mkuu Narendra Modi kwa kusambaza habari juu ya sifa na hadhi ya India inayokua kimataifa katika pembe za mbali za nchi katika kampeni ya uchaguzi wa Lok Sabha, kiongozi wa zamani wa Congress Acharya Pramod Krishnam alisema ujenzi wa Hekalu la Kihindu la BAPS huko Abu...
Kama Mwafrika angekuwa na mali na uchumi wa kuweza kuajiri wafanyakazi kutoka mataifa mengine angepata lawama toka pande zote za Dunia kwa unyanyasaji na ukatili.
Mwafrika anamtesa ndugu yake Mwafrika kama mnyama, jambo ambalo kwa mataifa mengine huwezi kuliona.
Mitaani case za unyanyasaji ni...
Hello!
Hili kila mtu anaweza kulithibitisha kwa kuback up miaka michache nyuma.
Furaha niliyokuwa nayo mwaka 1999 ni kubwa kuliko ya miaka ya 2009, furaha niliyokuwa nayo 2019 si kubwa kama ile niliyokuwa nayo 2009.
Licha ya maisha yangu kuboreka kila mwaka.
Nakiri kuwa maisha ya kulala...
Naomba nitoe salam kwa member wenzangu wa JF.
Kwa mara nyingine, leo nawaletea historia ya mwanamasumbwi bora wa kike wa muda wote, na wa uzito wote (The GOAT) Laila Ali au unaweza kumwita 'She bee stingin' ni mtoto wa King wa mchezo huo duniani Muhammad Ali 'The Greatest'.
Laila Ali alizaliwa...
Ukizungumzia wasanii wakali wa Hip Hop ulimwenguni hauwezi kuacha kutaja jina la Rapper Kendrick Lamar.
Kendrick Lamar ameshachukua tuzo kubwa za Grammy na ameshafanya ngoma ambazo zinaendelea kuishi na hazichoshi kuzisikiliza.
Kama ulikuwa hujui bhana, Rapper Kendrick Lamar kabla ya kuwa Star...
Wanajukwaa mnaonaje ustawi wa dunia kwa sasa hapo mashariki ya kati sio mbali na sisi tulipo na hata bahari ya shamu unavuka tu nchi mbili Kenya na Djibouti au somalia. Chokochoko hizi zitaathiri zaidi uchumi wetu hali zitakuwa mbaya zaidi mnashauri tujipange vipi kwa level ya kila mmoja ili...
Ni kweli wameshindwa kabisa kugundua dawa ya kutibu Ugonjwa wa Ukimwi au wana maslahi na ugonjwa huu?
Kwa miaka mingi tangu ugonjwa huu ulipogundulika kumekuwa na taarifa nyingi zenye utata kuhusu tiba yake,
mara tiba yake inafanyiwa uchunguzi na majaribio lakini hadi leo bado ni kizungumkuti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.