ulimwenguni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kanuni ya ulimwenguni inasema lazimisha mpaka upenye, kanuni ya Kimungu inasema jambo likikataa liache

    Hello habari! Umri wangu huu wa miaka utu uzima nimejifunza mambo mengi mno. ASili ya binadamu ni kupenda jambo zuri hasa lile ambalo anahisi anaweza kulifikia. Duniani kuna maelfu ya kazi, malaki na mamilioni ya wanaume kwa wanawake. Kuna fursa nyingi za kiuchumi, kuna courses nyingi za...
  2. Simba kupanda thamani, maombi ya uwekezaji na ushirikiano kutoka klabu na kampuni kubwa za michezo ni mengi

    Imebainika club ya Simba kupanda thamani maradufu kwa zaidi ya 85.9% kwenye maeneo tofauti ndani ya club. Maeneo yanayotazamiwa kupanda thamani ni pamoja na wadhamini wakubwa kuongezeka,kupata wafadhili mbalimbali watakao jitolea kukuza vipaji kwenye club, wadhamini wa soka la wanawake Simba...
  3. Ripoti Goldman Sachs: China na India zitaongoza Uchumi wa dunia mwaka 2075

    ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ณ China: $57 trillion ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ณ India: $52.5 trillion ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ United States: $51.5 trillion ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฉ Indonesia: $13.7 trillion ๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ฌ Nigeria: $13.1 trillion ๐Ÿ‡ต๐Ÿ‡ฐ Pakistan: $12.3 trillion ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฌ Egypt: $10.4 trillion ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ท Brazil: $8.7 trillion ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ช Germany: $8.1 trillion ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฝ Mexico: $7.6 trillion ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ง UK: $7.6 trillion ๐Ÿ‡ฏ๐Ÿ‡ต Japan...
  4. Based on true story: Mahaba yalivyonipeleka kwenye Jamii za Siri Ulimwenguni

    Ni miaka 7 Sasa tangu atangulie mbele za haki mama huyu wa kizungu anaitwa, Charlotte Nelson William. Charlotte Nelson William, enzi za uhai wake katika jumuiya ya Freemason nchini uingereza. Miaka ya nyuma niliwahi kufanya kazi za ufundi gari, lakini nikiwa Kama kibarua wa muda, yaani day...
  5. Freemasons Inside - Out: Who are they? How they operate? How to join them?

    Freemasonry is a fraternal organisation. Arising from obscure origins (theorised to be anywhere from the time of the building of King Solomon's Temple to the mid-1600s), it now exists in various forms all over the world, and claims millions of members. All of these various forms share moral and...
  6. Overview of Cryptos Asset Regulation in Sub-Saharan African Countries

    Ukuaji Wa Soko la Cryptocurrency Africa unahitaji Utaratibu Mzuri. Heri ya Mwaka Mpya 2023 wana JF ๐Ÿ™๐Ÿ’œ Utafiti uliofanywa na Chainalysis unonyesha kuwa, Bara la Africa ni ya 1 kwa ukuaji Wa haraka kwny soko la Cryptos Ulimwenguni lakn imekuwa ikifanya mihamala michache kwa makadilio jumla ya...
  7. D

    Argentina na Ufaransa kuiwakilisha nguvu ya Dunia Ulimwenguni

    Ni kama jambo jepesi lakini limebeba maana nzito ya kiulimwengu! Lengo kuu la kuiteka dunia kwa kuifanya dunia kuwaza pamoja, kwa muda mmoja na jicho la pamoja si jambo jepesi hata kidogo! Hii ni mipango ya wenye nguvu katika Ulimwengu wa roho. Asilimia 70% ya watu duniani Leo watafikilia na...
  8. Elon Musk sio tajiri namba moja duniani kwa sasa

  9. Naomba kujuzwa, Kwanini nchi za magharibi zinakomalia suala la kueneza ushoga ulimwenguni

    Je, nini kipo nyuma ya pazia, lengo na dhamira yao ni nini? Deep intelligence yao ni ipi? Juu ya suala hili ovu kabisa kuliko chochote kile hapa ulimwenguni. Wajuzi na waona mbali karibuni tuchambue ni kipi kipo nyuma ya pazia kwa wamagharibi hawa, and there deep secret may be hided over this...
  10. Naomba kujuzwa, Kwanini nchi za magharibi zimekomalia suala la kueneza ushoga ulimwenguni

    Je nini kipo nyuma ya pazia, lengo na dhamira yao ni nini? Deep intelligence yao ni ipi? Juu ya suala hili ovu kabisa kuliko chochote kile hapa ulimwenguni. Wajuzi na waona mbali karibuni tuchambue ni kipi kipo nyuma ya pazia kwa wamagharibi hawa, and there deep secret may be hided over this...
  11. Quran na idadi ya watu ulimwenguni

    Nimepitia Quran tafsiri, nimeshangaa Muhammad karne ya tano huko amewezaje kujua kuhusu wanawake kuwa wengi ulimwenguni kuliko wanaume " ุจูุณู’ู…ู ุงู„ู„ู‘ูŽู‡ู ุงู„ุฑู‘ูŽุญู’ู…ูŽูฐู†ู ุงู„ุฑู‘ูŽุญููŠู…ู ูŠูŽุง ุฃูŽูŠู‘ูู‡ูŽุง ุงู„ู†ู‘ูŽุงุณู ุงุชู‘ูŽู‚ููˆุง ุฑูŽุจู‘ูŽูƒูู…ู ุงู„ู‘ูŽุฐููŠ ุฎูŽู„ูŽู‚ูŽูƒูู…ู’ ู…ูู†ู’ ู†ูŽูู’ุณู ูˆูŽุงุญูุฏูŽุฉู ูˆูŽุฎูŽู„ูŽู‚ูŽ ู…ูู†ู’ู‡ูŽุง ุฒูŽูˆู’ุฌูŽู‡ูŽุง ูˆูŽุจูŽุซู‘ูŽ...
  12. Wasiojua Cheo cha Urais ulimwenguni someni hapa

    1. Ana ruhusa ya kuidhinisha vita (maelfu ya watu wafe). 2. Ana ruhusa ya kuua RASMI kila baada ya muda fulani. 3. Ana ruhusa ya kulindwa maisha yake yote (hubadilika kikatiba kutegemeana na nchi) 4. Ana bastola maalumu isiyo na utambulisho wa ganda ikitokea amekuua hana kesi. 5. Anamzidi...
  13. Rekodi 4 za kampuni ya simu ya Nokia kuwahi kuwekwa ulimwenguni.

    1. Nyimbo zinazosikilizwa zaidi ulimwenguni Nokia Tune. Nyimbo ya Nokia ilitungwa na mtunzi Gran Vals, na mtunzi wa Kihispania Francisco Tรกrrega. Anssi Vanjoki, pamoja na Lauri Kivinen, walichagua kipande hicho maarufu kilichowekwa kwenye simu za Nokia mwaka 1993. Mlio huo maarufu wa kuita...
  14. Bruce Lee - Mtu wa kustaajabisha zaidi Ulimwenguni

    Bruce lee Alikuwa mwana kareti wa kichina na Muigizaji mashuhuri wa Filamu. Aliweza kufanya mambo yasiyo ya kawaida ya kustaajabisha . Alikuwa na Uzani wa pondi 350 kipimo cha uzani wa mapigo. Aliweza kupiga push up 1500 kwa mikono miwili. Aliweza kupiga push up 400 kwa mkono mmoja, Alikuwa...
  15. L

    Mmea mkubwa zaidi ulimwenguni wagunduliwa pwani ya Australia

    Wanasayansi wamegundua mmea mkubwa zaidi duniani katika pwani ya Magharibi ya Australia. Mmea huo una miaka zaidi ya 4,500 na ukubwa wake unakisiwa kuwa ni kilomita 180.
  16. Kwa siku kila mwanadamu anatumia bidhaa ya Marekani

    Kama sio Airbus, utatumia Coca-cola au Pepsi, utakwepa huko utakamatwa Kwenye Colgate. Haya utakimbia iphone lakini utabanwa Kwenye fb, insta, Whatsapp. Kama uko kijijini, una kitorch Cha mchina utapiga tu cm na network na ya beberu. tasema Mimi ctumii cm lakini utavaa mtumba wa mu America...
  17. UNICEF: Mataifa tajiri yahatarisha maisha ya watoto ulimwenguni

    Shirika la Kuwahudumia Watoto la Umoja wa Mataifa (UNICEF) limedai kuwa mataifa tajiri Duniani yanahatarisha maisha ya watoto kutokana na uzalishaji mkubwa wa gesi za sumu zinazoathiri afya zao. Kituo cha Utafiti cha UNICEF kimetafiti mataifa 39 ya Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiuchumi na...
  18. Kwanini USA na EUROPE wamelitawala sana anga la ndege za abiria ulimwenguni?

    Mashirika mengi ya usafiri wa anga ulimwenguni yanatumia sana ndege zinazotengenezwa na either Boeing ya Marekani au Airbus ya Europe. Ni kwanini? Ina maana nchi nyingine kama china, Russia, south Korea wameshindwa kuunda haya madude? Hata mashirika yaliyoko china ndege zao ni either Boeing au...
  19. Kwa haya yanayotokea ulimwenguni, tuombe au kusema nini mbele ya Mungu?

    Vita vya mtoto na mzazi, ndugu kwa ndugu, jirani kwa jirani, nchi kwa nchi na dunia kwa ujumla ni dalili mbaya iletayo hofu kubwa. Sisi kwa sisi hatupendani kabisa, kila MTU anajua, anajitutumua, twaumizana kwa makusudi, yaani wale walioumbiwa upole wa moyo na matendo ndio wanazidi kuonewa...
  20. S

    Korea Kaskazini yatamba kuwa miongoni mwa nchi chache ulimwenguni zenye uwezo wa kuitisha na kuiogofya Marekani

    Korea Kaskazini imetamba ktk jumanne ya wiki hii kuwa nchi hiyo ni moja ya nchi chache duniani zenye silaha za nyuklia na makombora yenye ubora wa hali ya juu. Ikaendelea kutamba kuwa nchi hiyo (Korea Kaskazini) ndio nchi pekee yaweza kuidindia Marekani kwa 'kuitikisa dunia' kupitia majaribio...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ