Wadau kama title inavyoonesha, naomba kila mmoja mwenye taarifa afanye kutupa experience alipataje nafasi ya kujiunga na vyombo vya ulinzi na usalama ndani ya nchi yetu Tanzania.
NB: Mimi nimelitumikia jeshi la kujenga taifa miaka mitatu lakini sikubahatika hata kupata nafasi ya kufanya usaili...