Moja kwa moja kwenye mada.
Polisi wapo kila kona ya mkoa wa Dar es Salaam, hawa waliokosa elimu na fedha kwanini wanasumbua mitaani.?
Hapa najiuliza kodi(PAYE) yangu ni zaidi ya Tsh500,000/= kila mwezi halafu anatokea mtu nyumbani kwangu eti nitoe pesa ya ulinzi shirikishi.
Tanzania kama nchi...
Habari wanajamvi poleni na majukumu ya kila siku. Moja kwa moja twende kwenye mada yetu.
Aisee kumekua na hili suala la kutozana tozo mbalimbali ambazo baadhi zimekua sahihi na nyingine si sahihi. Kumekua na tozo ya takataka (sahihi) na pia tozo ya ulinzi shirikishi (si sahihi).
Tozo ya...
Je unahitaji kuimarisha ulinzi wa nyumbani kwako kwa kuweka alarm lakini
changamoto ni hela?
Kama una madirisha ya aluminium, Je umewahi kuibiwa simu kupitia
dirishani wakati wa usiku
Je unajua wezi ni rahisi kwao kufungua madirisha ya aluminium au kuvunja
vitasa na kuingia kupitia mlangoni na...
Huyu mjumbe ni mbadhirifu na mwizi wa fedha za ulinzi shirikishi. Amekuwa na tabia ya kudai hela ya ulinzi na hatoi ristii ya EFD.
Ni jukumu la Mwenyekiti wa Kata ya Saranga kumfuatilia huyu mjumbe ambaye rekodi yake inaonyesha alishawahi kufukuzwa kwenye taasisi moja ya Serikali.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.