ulinzi wa faragha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    Data Privacy Day: JamiiForums kwa kushirikiana na Lawyers Hub kufanya Mjadala kuhusu Sera za Akili Mnemba (AI) Januari 28, 2025

    Ikiwa kesho Januari 28, 2025 ni Siku ya Faragha ya Taarifa Duniani (Data Privacy Day), JamiiForums kwa kushirikiana na Lawyers Hub wameandaa Mjadala wa Sera za Akili Mnemba. Tanzania na Afrika kwa ujumla inashuhudia mapunduzi makubwa ya Teknolojia ikiwemo Teknolojia ya Akili Mnemba ambapo...
  2. Trubetzkoy

    Kujirekodi na kusambaza video za utupu ni kosa kisheria?

    Habari! Sijui sheria zetu zimekaaje ila naomba niseme hili. Kwa miaka ya hivi karibuni hapa nchini kumeibuka wimbi kubwa la video zenye maudhui yasiyofaa zikisambaa mitandaoni huku vijana wa hovyo wakifurahia pindi waonapo video hizo ambazo wao huziita 'Connection', bullshit! Kimsingi video...
  3. A

    DOKEZO NIDA Kinondoni wanahatarisha Faragha ya Wateja wao

    Jiuzi nilienda ofisi ya NIDA Kinondoni huko Kawe. Kisa mtandao wao kukata nilipoenda mara ya kwanza nilipaswa kuacha makaratasi yangu ofisini kwao. Niliporudi kupigwa picha na kuchukuliwa alama za vidole yaani kuingizwa kwenye mfumo, maafisa wote wa chumba cha picha walikuwa bize na shughuli...
  4. Mr Why

    Ushauri kwa Waziri Nape: Mitandao ya ngono ifunguliwe mkazo uwekwe kwenye sheria ya faragha

    Mh Nape Nnauye Watanzania wako wana uelewa mkubwa sana kuhusiana na maswala yote ya faragha, ndio maana hakuna Kibandaumiza chochote kinachoonesha video za ngono na wala hakuna sehemu yeyote ya makutano au hadhara inayoonesha video za ngono katika nchi hii Video za ngono huwa zinatizamwa...
  5. R

    Unajua nini kinaweza kutokea ikiwa mtu ana alama yako ya dole gumba au utambulisho wa mboni ya jicho lako?

    Alama ya dole gumba au utambulisho wa mboni yako ni utambuzi wa kibaiolojia ambao hutumika kama njia ya kumtambua mtu na kuruhusu kufikia au kufungua vitu fulani. Ikiwa mtu au kampuni yenye nia mbaya inapata nafasi ya kufikia alama zako za utambulisho, taarifa zako binafasi kama miamala ya...
  6. The Sheriff

    Ni muhimu kwa kila Mtanzania kuchukua jukumu la kujilinda dhidi ya Mashambulizi ya Kimtandao

    Mashambulizi ya kimtandao ni jambo la kawaida katika enzi hizi ambapo teknolojia ya habari na mawasiliano inakua kwa kasi. Maendeleo ya kiteknolojia yameleta faida kubwa katika maisha yetu, lakini pia yameleta changamoto na tishio la usalama wa kimtandao. Teknolojia inaendelea kuwa sehemu...
  7. R

    Kwanini unampa mtu wako wa karibu 'password' zako?

    Nywila (password) ni utambulisho binafsi, ambao hulinda taarifa zote katika ulimwengu wako wa kidijitali: taarifa binafsi, akaunti za benki, mitandao ya kijamii, taarifa za nyeti, picha na maudhui ya aina yoyote. Ndiyo maana ni muhimu kuunda nywila imara ambayo ni ngumu kukisia. Hata nywila...
  8. J

    Ulinzi wa Faragha ya Taarifa Binafsi ni Haki ya Msingi ya Binadamu

    Siku ya Ulinzi wa Faragha ya Taarifa Binafsi (Data Privacy Day) inaadhimishwa kila Januari 28 Haki ya Faragha inawezesha Raia kufurahia Haki nyingine kama: - Uhuru wa Mawazo - Uhuru wa Kujieleza - Uhuru wa Kukusanyika Ni Msingi wa Jamii ya Kidemokrasia Katika Nchi nyingi, Faragha...
  9. R

    Ni kwa kiasi gani watu wanakujua kwenye mitandao ya kijamii? Je, kuna hatari gani?

    Ni rahisi kupeana habari na watu unaowasiliana nao mtandaoni. Majukwaa kama vile mitandao ya kijamii inafanya iwe rahisi kwa wewe kutangaza kwa familia yako na marafiki (na hata kwa watu usiowajua, kulingana na mipangilio yako ya faragha) unachofanya na mahali ulipo. Mitandao ya kijamii kama...
  10. R

    Nywila (password) zako ni imara au ukidukuliwa sehemu moja umekwisha?

    Utahitaji kuwa na password ili kufanya karibu kila kitu kwenye mtandao, kuanzia kuangalia barua pepe hadi benki ya mtandaoni. Na ingawa ni rahisi zaidi kutumia password fupi, ambayo ni rahisi kukumbuka, hii inaweza pia kuleta hatari kubwa kwa usalama wako wa mtandaoni. Ili kujilinda na taarif...
  11. R

    Kwanini ni muhimu kulinda simu yako ukipeleka kwa fundi kwa ajili ya matengenezo

    Habari za hivi majuzi za mwanafunzi ambaye picha zake za faragha zilifichuliwa baada ya kutuma iPhone yake kwa ajili ya matengenezo ni ukumbusho kwa watumiaji kufunga data zao, wataalam wanasema. Apple ilisuluhisha kesi na mwanamke mwenye umri wa miaka 21 baada ya kutuma iPhone yake kwenye...
Back
Top Bottom