ulinzi wa israel

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waziri wa Ulinzi wa Israel atoa onyo kali kwa magaidi wa Hamas huko Gaza

    Waziri wa Ulinzi Israel Katz: "Licha ya shirika la kigaidi la Hamas kukiuka mara kwa mara na kukataa kwake mipango uliotolewa na mjumbe maalum wa Rais Trump katika Mashariki ya Kati Witkoff, tulijibu ombi la mpatanishi la kuruhusu siku chache zaidi za mazungumzo. Na wakati huo huo...
  2. Israel: Netanyahu amfukuza kazi Waziri wa Ulinzi,Yoav Gallant

    Wanaukumbi. Netanyahu kamfukuza kazi waziri wa ulinzi Yoav Gallant kutoka wadhifa wake wameshindwa kuelewana Gallant, kamwambia Netanyahu vita tumeshindwa Inakisiwa kuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa sasa wa Israel Israel Katz atachukua nafasi yake. =============== Netanyahu dismissed defense...
  3. Hotuba ya Waziri wa Ulinzi wa Israel Yoav Gallant. Dalili za kwanza za kukubali kushindwa vita

    Wanaukumbi. Mambo yamekuwa magumu kwa Israel, sasa wanataka makubaliano hamna tena habari za malengo ya Netanyahu. Nguvu sio kiini cha kila kitu Kutambua wajibu wetu wa kimaadili na kimaadili kuwaleta mateka wetu nyumbani itabidi kufanya makubaliano yenye uchungu "Sio malengo yote inaweza...
  4. U

    Waziri wa ulinzi wa Israel awataka wapiganaji wa Hamas kunyoosha mikono juu na kujisalimisha na kuwaachia huru Mateka

    Wadau hamjamboni nyote? Hamas nyoosheni mikono mjisalimishe! Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: --- Gallant calls on Hamas fighters to surrender, release hostages following Sinwar killing Defense Minister Yoav Gallant calls on Hamas fighters to release the hostages and surrender following...
  5. U

    Waziri wa Ulinzi wa Israel Jenerali Yoav Gallant asema mazungumzo yeyote ya kusitisha vita Lebanon yatafanywa "chini ya mtutu wa bunduki"

    Wadau hamjamboni nyote? Waziri wa Ulinzi Yoav Gallant amesema mazungumzo yoyote ya kumaliza mapigano nchini Lebanon lazima yafanyike "chini ya moto" wakati wa tathmini ya hali ya eneo la kaskazini. Akikutana na makamanda wa Kitengo cha 146 cha akiba, Gallant amesema kukamatwa kwa wapiganaji wa...
  6. Ulinzi uliopo Israel ni mkubwa kuliko taifa lolote duniani

    Tumeonya Sana, tumehubiri Sana, tumeshuhudia sana kuhusu Vita zinazoendelea ya middle East. Viongozi na watu mbalimbali wameonywa Sana kuhusu taifa LA Israel. Mpango wa Mungu kuhusu Israel lazima ukamilike. Ahadi ya Mungu kuhusu Israel lazima ikamilike. Biblia imesema waziwazi kwamba wa Israel...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…