Tunatumia muda mwingi kwenye simu zetu za mkononi, iwe ni kwa kutuma ujumbe, kupitia mitandao ya kijamii, kuangalia barua pepe au kufuatilia habari mpya. Kwa kawaida tunazima simu zetu pale tu inapokuwa na tatizo au hitilafu, au pale betri inapokufa (ingawa si kwa makusudi).
Hata hivyo, Shirika...