Hongera Watanzania na serikali kwa kutumia kodi na kuwezesha mradi kuanza kufanya kazi kwa kipande cha Dar-Moro, Dar-Dodoma safari iliyoanza leo.
Napenda kuwashauri watanzania wenzangu huu mradi ni kwa kodi zetu tuwe na uchungu nao tusikubali kufumbia macho uhujumu wowote utakaopangwa maana...