Tunafunga electric fence ktk nyumba binafsi,hoteli,viwanda,migodi nk....
Fensi hii ya umeme inatumia machine maalum kupeleka umeme ktk fensi.
Machine hiyo hutunza umeme ili endapo umeme ukikatika usiku basi fensi iendelee kua na umeme kwa ajili ya ulinzi husika wa nyumba.
Waya wowote...