Salaam, Shalom!!!
Kiongozi katika eneo, au JAMII, Nchi nk nk, Huwa ni reflection ya watu anaowaongoza Hasa alikotoka!!
Nimewahi kuishi mikoa Fulani kijana anapata shida kidogo tu ya pesa, Badala ya kuvumilia na kuumiza KICHWA, Yuko radhi auze vyote alivyo navyo, ikibidi hata viatu alivyovaa...