Jinsi ya Kujua Namba ya IMEI ya Simu Yako
1. Njia ya Kupiga Namba: Fungua programu ya simu kisha piga *#06#. Namba ya IMEI itaonekana moja kwa moja kwenye skrini.
2. Njia ya Mipangilio (Android): Nenda kwenye "Mipangilio" (Settings), kisha chagua "Kuhusu Simu" (About Phone) au "Kuhusu Kifaa"...