uliopitiliza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kally Ongala tunaokujua tulijua tu kuwa Leo iwe isiwe utawapa Zawadi kutokana na Unazi wako Kwao na Unafiki wako uliopitiliza

    Sasa kwanini usiombe tu Kazi huko Kwao ili tujue moja? Mechi yetu nawe najua utatukazia mno na hata Kushirikiana nao Kuroga / Kuturoga.
  2. G

    Kuchukiwa kwa Wayahudi ni kwasababu ya kupendelewa na Mungu kwenye akili, Haiwezekani kundi dogo lipate maendeleo makubwa kiasi hiki bila chuki

    Maendeleo makubwa kwa kundi dogo huwaacha wengine na wivu na hasira Quran na Biblia zimeweka wazi upendeleo wa Mungu kwa kuwabarikia wayahudi akili zaidi japo kwa upendeleo huu walikuwa na jukumu zito kuzidi wengine kwenye kutii amri za aliewabarikia hizo akili, adhabu zilikuwa kali mno...
  3. Mitume na manabii wa kileo ni viumbe waliojaa, ghiliba, uroho ubinafsi na uchoyo uliopitiliza

    Kama kuna watu whuni, wanyama katili na wenye rohombaya sana basi hawa ndugu wanaongoza. Wao wanachojua ni mashindano yq kukusanya pesa tuu na kuzitumia kwenye mambo binafsi ya kifahari na kufuru ya pesa. Wanashindana kuvaa mavazi ya bei ghali Wanashindana kumiliki magari ya kifahari na ya...
  4. Rasmi: Yanga yavunja Mkataba na Gamondi

    TAARIFA KWA UMMA Uongozi wa Young Africans Sports Club unapenda kuutarifu umma kuwa umevunja mkataba na Kocha Mkuu wa kikosi cha kwanza, Angel Miguel Gamondi. Vilevile, Uongozi wa Young Africans Sports Club, umesitisha mkataba wa kocha msaidizi wa kikosi cha kwanza, Moussa Ndaw. Uongozi wa...
  5. Usiruhusu ukaribu uliopitiliza kati ya mwenza wako na marafiki zako (mashemeji)

    Mhadhara wa 27: Ukaribu uliopitiliza kati ya Mwenza wako na marafiki zako ni hatari sana. Ukaribu wa marafiki zako kwa Mwenza wako ukipitiliza mambo huwa hivi. 1. Leo wanaitana "shemeji" 2. Kesho wataitana "shemu" 3. Keshokutwa wataitana "meji" 4. Mtondogoo wataitana "shemu darling" 5...
  6. Namna ya Kupunguza au Kuepuka Unene uliopitiliza.

    Unene uliopitiliza unaongezeka kwa kasi sana miongoni mwa watu wengi kwa sasa. Hali hii huwaweka watu ktk hatari ya kupata magonjwa yasiyoambukizwa mfano magonjwa ya moyo, mfumo wa upumuaji pamoja kuathiri uwezo wa mtu kufanya shughuli zake za kila siku. Kinachosababisha/kuchangia unene ni...
  7. Hivi hili ni ubinafsi uliopitiliza au tuitaje? Lipo sana kwa wachungaji na wanasiasa

    Wachungaji na wanasiasa kuomba waumini au wananchi wawachangie kununua vitu kama mfano magari au kuwachangia kufanikisha safari zao za kwenda Ziarani nje ambazo nyingine ni mapumzikoni tu . Au kufanikisha mambo ambayo ni faida yake binafsi au mambo kama pesa ya Mwenge /ujenzi wa shule mambo...
  8. Nina uoga wa radi (lighting) uliopitiliza. Kuna sababu ya kuwa na hali hii?

    Mimi ni mtu mzima na familia lakini naogopa sana radi, ikiwaka moja tu, basi natafuta pa kujificha. Ni aibu ni wapo na watoto ila ndio hivyo, je kuna sababu ya kuogopa radi nikiwa ndani?
  9. G

    Sijui kama nina wivu uliopitiliza lakini wanaume tuliooa unamwachaje mke wako atoke nje na vimini ama suruali / taiti zinazombana?

    Mavazi haya ni ndoano ya kuvutia wanaume wengi kumuona mwanamke ni koloni lisilo na mtawala, kwamba bado yupo sokoni hana mme ama ana mme ila bado anataka attention ya wanaume wengine.
  10. Ivory Coast kuendelea kuisifu na kuiabudu Morocco ni upuuzi uliopitiliza

    Katika mechi za mwisho hatua ya makundi katika mashindano ya AFCON 2023, Ivory Coast walikuwa wanahitaji Morocco ishinde mechi yake dhidi ya Zambia ili iweze kuinusuru Ivory Coast kuweza kuvuka hatua iliyofuata ya 16 bora. Na kweli, Morocco ilishinda 1-0 na Ivory Coast ikavuka kama best loser...
  11. Kikwete (Rais Mstaafu) ni Muungwana kuliko, mwenye huruma na utu uliopitiliza

    Jamani habari wanajf, ukweli Rais Mstaafu Dkt. Kikwete ni kiongozi wa kipekee Sana tangu nianze kuwafahamu viongozi wengine. Ni kiongozi anayeguswa na matatizo ya watu moja kwa moja hasa misiba, na matukio ya kijamii. Mhe. Kikwete hajawahi kusikia Msiba kwa watu ambao unafikika akashindwa...
  12. KERO Stendi kuu ya mabasi ya Moshi (Kilimanjaro) imejaa ujinga, upuuzi, uchafu na ushamba uliopitiliza

    Nikiwa katika pitapita zangu za kusafiri mwishoni mwa mwaka huu wa 2023 nikajikuta mikoa ya kaskazini, nikatua Stendi kuu ya mabasi ya mikoani pale Moshi mjini na hapo nikakutana na mambo ya ajabu, yaani uchafu, ushamba na ujinga wa kiwango cha juu kupitiliza tena mamlaka za serikali...
  13. 46% ya Wanawake wa Zanzibar ni Wanene Kupita Kiasi, Tanzania Bara ni 36%

    Imekuwa jambo la kawaida kukutana na makundi ya wanawake wa rika mbalimbali pembezoni mwa barabara wakifanya mazoezi. Wapo wanaokwenda kwenye klabu za mazoezi, lengo likiwa ni kujiweka fiti na kulinda afya ya mwili dhidi ya maradhi hasa yasiyoambukiza ambayo yamekuwa tishio kubwa kwa sasa. Hata...
  14. Kusomesha mtoto kwa pesa nyingi halafu kuja kulalamika hakuna ajira( za kitumwa ) ni ujinga uliopitiliza

    Acha tuambizane ukweli kuhusu hali zilizopo ndani ya jamii zetu hata kama tusipopenda kusikia ukweli sawa tu. Huu mtindo wa wazazi wa kitanzania kusomesha watoto kwenye shule zenye kuhitaji pesa nyingi na kuacha za kawaida huku hali ya maisha ikiwa haisomeki ni wa kishamba. Mzazi anaye...
  15. Ripoti KNBS: Uzito Uliopitiliza ni tishio kwa Wanawake wa Afrika Mashariki

    Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu ya Kenya kwa kushirikiana na Benki ya Dunia na Umoja wa Mataifa, umeonesha kuna ongezeko kubwa la Wanawake wenye Vitambi na Uzito Uliopita Kiasi. Ripoti imeonesha 45% ya Wanawake wenye kati ya miaka 20-49 wana Viriba Tumbo ikiwa...
  16. Mambo yanayotufanya wanaume tusikie Utamu uliopitiliza Wakati wa Sex

    Kwema Wakuu! Andiko hili ni mahususi Kwa MTU mwenye umri wa miaka 18 kuendelea. Chini ya hapo asome Chini ya uangalizi wa Wazazi. Kutembea na Wanawake wengi kunakufanya uchukulie Sex kama mchezo wa kawaida Sana. Hii ni tofauti na Mwanaume aliyetembea na Mwanamke mmoja. Mwanaume ambaye hana...
  17. Kuning’iniza funguo za gari kiunoni kama tunguli ni ushamba uliopitiliza

    Suruali ina mifuko, wekeni funguo mfukoni jamani. Unaponing’iniza kwa sababu ya kuionesha kwamba umekuja na gari nahisi ni ushamba fulani wa kiwango cha SGR.
  18. Depression na Wasiwasi Uliopitiliza unagharimu Uchumi wa Dunia zaidi ya $ Trilioni 1 kila mwaka

    Kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani (WHO), Takriban 20% ya Watoto na Vijana duniani wana Tatizo la #AfyaYaAkili, ikiwa ni sababu ya Pili kwa kuchangia Vijana wenye miaka 15 hadi 29 kujiua duniani. Pia, katika kila kundi la Watu 5 waliopo kwenye mazingira yenye Vurugu, mmojawapo anakabiliwa na...
  19. Wanawake wanaongoza kwa kuwa na Wasiwasi Uliopitiliza duniani

    Takriban Watu Milioni 315 sawa na 4% ya Watu Duniani kote, wanakabiliwa na Tatizo la Wasiwasi Uliopitiliza. Mwaka 2020 pekee, 90% ya Nchi zote Duniani zilipatwa na ongezeko la 25% ya Wasiwasi Ulipitiliza, kutokana na kuibuka kwa Ugonjwa wa #UVIKO19. Kwa mujibu wa Takwimu za Jukwaa la Uchumi...
  20. B

    LATRA hili la ving'amuzi ni uonevu uliopitiliza

    Kama wenye mabasi hawana udhibiti wala utambuzi wa ufanyaji kazi wa ving'amuzi vya LATRA kwenye magari yao, ni vipi kuwajibishwa wao kwa mapungufu yoyote kwenye vifaa hivi? Bila shaka hawa pamoja na kufungiwa wakiwa wamelipia vibali, kodi, bima na tozo zote husika, faini nzito nzito zitakuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…