Wana JF nimekuwa muhanga wa kuwa na wivu uliopitiliza katika mahusiano , sijui ni mimi tu au kuna wengne wana wivu kama mimi hii imekaaje wanaume wenzangu.
1. Siihitaji mpenzi wangu awe na mazoea na wanaume bila sababu ya msingi.
2.Napenda sana kufatilia simu yake muda mwingi huwa nampokonya...