ulipaji kodi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    Tume ya maboresho ya kodi, kuni ya ongezeko la ulipaji kodi wa hiari

    TUME YA MABORESHO YA KODI, KUNI YA ONGEZEKO LA ULIPAJI KODI WA HIARI Na Mwandishi, Umoja wa Vijana CCM Rais Samia Tarehe 04/10/2024 amezindua Tume ya Rais ya Maboresho ya kodi Kodi ni -mchango wa lazima kwa mapato ya serikali, unaotozwa na serikali kwa mapato ya wafanyakazi ,faida ya...
  2. Naomba ufafanuzi kuhusu makato ya kodi

    Naomba kuelekezwa kama Kuna namna Mimi sielewi. Ni mara nyingi sana nikikata tiketi ya basi, unakuta kiwango kilichoandikwa pale ni tofauti na kile ulicholipa. Mfano, nilipanda basi kutoka Mpanda kwenda Dar, nauli ilikua 79,000 kwenye EFD receipt, lakini Mimi nililipa 75,000/= Kwa uelewa...
  3. Viongozi wa Afrika wanaenda China kujifunza lakini hawaji kufanya kama Wachina

    Wachina wanaofanyakazi, wanakusanya Kodi na kulinda Kodi kwa nguvu zao zote. Mhujumu ananyongwa. Je, Africa watu wao wanafanyakazi, kukusanya kodi na kulinda Kodi ya wananchi wao?
  4. Kwanini TRA wasigawe EFDs badala ya kuziuza?

    VAT ni kifupi cha Value Added Tax. Ni kodi inayotozwa kwenye bidhaa, huduma, na mali isiyohamishika ya shughuli yoyote ya kiuchumi wakati thamani inapoongezwa katika kila hatua ya uzalishaji na hatua ya mwisho ya mauzo. Viwango ni 18% kwa usambazaji wa kiwango cha kawaida, na 0% kwa mauzo ya...
  5. Z

    Wafanyabiashara wote wanapenda kukwepa kulipa Kodi

    Hakuna mfanyabiashara yeyote Duniani na haswa kwa Nchi za Afrika anayependa kulipa Kodi, wengi wao huwa wanatafuta mianya ya kukwepa kulipa Kodi. Wafanyabiashara wengi wanatafuta faida zaidi kwa njia yoyote ile. Hivyo kujadiliana kuwa Kodi hii ilipwe ama isilipwe ni sawa na nyani kulinda...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…