Kumekuwa na changamoto katika mfumo wa chuo unaopelekea wanafunzi kushindwa kulipa ada ili waweze kufanya mitihani kwa wakati leo tarehe 8 Julai majira ya saa 7 usiku wanafunzi wapo ofisi za uhasibu wakijaribu kupata vitambulisho vya mitihani na asubuhi kukikucha waingie kwenye mitihani...