ulozi

  1. Udart

    JE ? MSHANA jr ALIACHA ULOZI KWA HIALI??

    Heri ya jumapili: Jana juzi bhn Kuna jamaa yangu alipata kesi kubwa hapa dsm sasa katika kuhangaika jamaa wakashauri twende Kwa msisi tanga tukaroge tuokoe jahazi safari ya watu watatu ukaanza tumefika handeni tunaelekezwa Kwa msisi kumbe ni ndani ndani kabsa...
  2. Brojust

    Ajali za mwisho wa mwaka, Je ni Africa peke yake au hata nchi zilizoendelea ? Je ni dhana ya ulozi au Uzembe tuu ? Mbona watu wanapotea kizembe hivi ?

    Salaam Case study: Tanzania, Hizi ni coache tu, kagera 15, Mikese 18, hapo bado majeruhi watakao kuwa vilema wa maisha, Sina data kamili ila kuanzia mwezi wa 10 mpaka huu wa 12 inawezekana death toll kwenye ajari pekee inafika 50, hapo bado sijazungumzia pale songwe mlima mbalizi nasikia tena...
  3. Stability

    Pitia hapa kama uliwahi kuharibiwa mambo yako kimazingara (ulozi) na namna ulivyojinasua

    Wakuu, Maisha ni fumbo, maisha ni gumzo. Tusipende kubeza watu kutokana na wanayoyapitia na wanayoyaongelea kwa maana haujayapitia. Karibuni kwa story mbali mbali wakuu
  4. Mhafidhina07

    Yupo wapi bingwa wa ulozi?

    Ni miezi takribani 2 sijaona andiko lolote kutoka kwa Mshana Jr vipi, mwenye taarifa atugaie. Huyu mtu tunaye au hatunaye?
  5. M

    Kwa nini Yanga inakuwa na wachezaji wanaoamini sana ulozi?

    Ukiachana na ile ya kuchoma moto kule Afrika kusini ambao ulikuwa ni upuuzi lakini sijawahi kuona wachezaji wa Simba wakitoa taulo au kufukua kwenye lango la mpinzani hata waattempt mara 30 bila goli. Kwa Yanga imekuwa kawaida sana kuwa na wachezaji wanaoamini ulozi wazi wazi. Kipindi cha nyuma...
  6. Njanga Tz

    Kwanini utajiri wa familia za Kitanzania sio endelevu vizazi kwa vizazi? Je chanzo ni Siasa na Utawala au ulozi?

    Hili swali kila siku najiuliza sipati majibu sahihi. Utajiri wa mababu zetu umeenda wapi? Uhakika ni kwamba walifanya kazi na walikuwa na mali za kutosha lakini kwa sasa hazionekani tena.
  7. Pdidy

    Wanawake wengi wamekuwa wahanga wa makanisa, msishangae kuona anagawa mali zote kwa mchungaji wake

    Ninao ushahidi wa ndoa kama nne zimekufa sababu ya hawa called dady my dady ma... Hawa ni pastors wanatumia udhaifu wa kina mama kuwaibia mali zao na wanapojua una hela basi mume ujipange yaani kilicho chako kifiche kama ni hati ficha mbali kwa ndugu zako Nimekaa nikawaza hawa wanakuwa...
  8. Prakatatumba abaabaabaa

    Bangili hii ni Fashion au ni ulozi?

    Nimekutana na watu wengi sana wakiwa na hizi bangili sio wazee tu Hadi vijana. Je huo ni ulozi? Au kujikinga na mabaya? Wanaovaa wengi ni wafanyabiashara.
  9. C

    Nitajuaje kuwa nimepatwa na hasad au na mambo ya ulozi?

    Habari wakuu, Naomba wataalamu wa kuchanganua mambo ya ulozi na hasad mnipe msaada hapa. Nimekua na series ya matukio ya bahati mbaya yaan matukio lukuki mpaka nawaza kua pengine nimepigwa na mambo ya ulozi au hasad. Naomba wajuvi wa haya mambo wanipe msaada wa haraka hali ni mbaya sana...
  10. Makonde plateu

    Nimemshauri akasomee ulozi na uchawi (vodoo) Afrika Magharibi

    It serious unafikiri mimi ningemshauri ninj? Zaidi ya kumwambia kwamba akasomee ulozi na uchawi Afrika magharibi kwa sababu kwa alichofaulu ni kiwango kizuri kwa hiyo fani na ama kwa hakika vodoo inalipa sana kama ukichanga karate zako una nagasi kubwa sana ya kutoboa maisha kwahiyo hapa...
  11. S

    Acha wanasiasa wafaidike na tozo, maana siasa za Tanzania zinahusisha fitina, uzandiki, ngono na ulozi

    Kama kuna mtu anaona wanasiasa wanafaidi naye aingie kwenye kinyang'anyiro cha udiwani, ubunge ama urais. Lakini... 1. Uwe tayari kufanya ulozi na makafara. Mfano mzee wa nje ya box na mzee wa mama Amina. 2. Uwe tayari kutoa roho ya mtu. Kuna wanasiasa Alphonce Mawazo, Dr. Mvungi, n.k...
  12. S

    Je, huu ulozi au kitu gani? Naomba ushauri wenu

    Habari wana JF wote, Nyumbani kwangu huwa kunatokea matukio ambayo mimi nayaita ya ajabu kwani kuna mtu nisiyemfahamu anajisaidia haja kubwa pembeni kabisa ya nyumba yangu sasa sijui anakuwa na lengo gani. Sasa nataka nijue kama anafanya ulozi au nini! Na kama ni ulozi nini itakuwa dawa ya...
  13. Sa 7 mchana

    Msaada wa haraka kwenye tatizo hili la kiafya/ Ulozi

    Let me cut the bullshit and hit the point. Leo nimepokea simu kutoka nyumbani, Napewa taarifa kuwa mdogo wangu wakiume amepata matatizo anapoteza fahamu. Tatizo limeanza siku chache zilizopita( yani ijumaa ya tarehe 04.02.2022). Kijana aliondoka asubuhi sana kwenda shule, mashuhuda wanasema...
  14. Equation x

    Tunafanyiwa ulozi sana kwenye mahusiano

    Kuna stori moja niliileta hapa, kuhusu dada mmoja alikuwa mpenzi wangu (mchepuko), alifumaniwa na mumewe kwa njia ya simu akiwa faragha na jamaa mwingine. Ambapo, alipokuwa faragha simu yake kutoka kwa mumewe iliita, na katika zile harakati za kushika simu ikawa imejipokea, na mumewe kusikia...
  15. n00b

    Kutoka Bungeni: Muswada wa Mabadiliko ya Sheria ya Vyama vya Siasa wapitishwa kuwa Sheria

    Spika Ndugai ameipongeza Serikali kwa kazi nzuri na Muswada umepita kwa kura za Ndiyo ====== BAADHI YA NUKUU (KUTOKA UPINZANI) Kambi ya rasmi ya upinzani bungeni imekosoa muswada wa marekebisho ya sheria ya vyama vya siasa wa mwaka 2018 ikisema ni uonevu mkubwa dhidi ya vyama hivyo...
Back
Top Bottom