Kuna stori moja niliileta hapa, kuhusu dada mmoja alikuwa mpenzi wangu (mchepuko), alifumaniwa na mumewe kwa njia ya simu akiwa faragha na jamaa mwingine. Ambapo, alipokuwa faragha simu yake kutoka kwa mumewe iliita, na katika zile harakati za kushika simu ikawa imejipokea, na mumewe kusikia...